Dar: Mauaji Lemax Bar Sinza kwa Remmy. Kabla ya kujiua, Alex Korosso alimpiga risasi Gift Mushi

Bar nyingi za sinza,wanywaji wao huwa watu wa
Sifa sifa,sasa ukute dalali kauza gari basi ni vurugu tu

Ova
[emoji16][emoji16][emoji16] afuu kweli

Bora mengine yameungua na kubomolewa tena Yale maarufu B bar na Le chaz
 
Ukishakuwa kwenye sehemu za starehe,pombe
Ukiwa na chamoto issue ndogo inaweza tokea
Utashanga watu wanatoa bastola
Na yote hiyo hutokana na mitungi kichwani
Utakuta mtu haambiliki

Ova
Chuga wako wachimbaji wanastress ya kuishiwa huwezi kuta anamtishia mtu...,,zaidi huziuza wakiishiwa...kuna jamaa yng tulifuatana kuchukua 2009,mpka mwaka 2015 ilikua imeshakula 50m au zaidi kwa kupiga hovyo,kuna siku alipiga bar jirani na RC n RPC ilimtoka 9m yani bar walisema hasara 6m...
Police walichukùa 3m
 
Napafahamu sana kuna jamaa yako ndio huenda hpo kupata pigi,na sio bar ni kapub tu
Hahaha pale pembeni kwa nje kna kisaloon fulani cha kiume kidogo lkn kanajaza balaa
Pale nshapita sana lakini sijawahi ingia ndani
Maana bar za sinza nazielewa sana,wanywaj wengi wana ushamba
Hahaha mule jikoni kwa pig kna dogo mmja msingida anatengenezaga mambo

Ova
 
mzee kesi ya mke wa msuya imefikia wapi?
 
mzee unaziaminia bar za wapi?
 
huwa unatembea nayo masaa 24?
 
mkuu internet cafe tena miaka 90s huo ni uongo uliopitiza unajua kuwa mpaka mwaka 97 label kubwa kama bad boy au death row hazikuwa na mawasiliano ya email?
 
MY niggah
 
Yahoo na Worldsex.com [emoji23][emoji23]
 
hiyo death row au bad boy nimekutolea tu mfano sijasema kama mlikuwa mnawasiliana! Kiba100 we
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…