Dar: Mauaji Lemax Bar Sinza kwa Remmy. Kabla ya kujiua, Alex Korosso alimpiga risasi Gift Mushi

What exactly is your point? What are you trying to prove? You are stupid. Did anybody ever tell you that?
 
Siku hizi nikiwa dar nkitaka kpiga mmb yng
Natulia kwa mangi....dukani
Nna machobingo yangu kama 15
Kino,tmk,ilala popote

Ova
mrangi mtoto wa mjini natamani siku moja tuzunguke Dar maviwanja yote unipe mastory kibao toka enzi hizo za Upanga na Don Bosco
 
Ww wakati huo ulikuwa na miaka mingapi!!??
au miaka mitatu?
 
Aisee unamfahamu vizuri alex, mimi nilishare naye locker moja bweni la hanang23 pale old moshi 2001 akiwa A-level PCB kulikuwa na novels nyingi ninayoikumbuka ni Burden of Proofs iliyoandikwa na Scott Turrow, alikuwa na perfumes za gharama , nguo zake na viatu pia vilikuwa expensive sana, tulikuwa tunamuita ABDI
 
Tatizo lako kubwa ni Umarekani mwingi ambao haujawahi kuuishi. Yaani naweza kusema wewe ni "A Gangsta Wanna Be"
Manager wa Bar kahojiwa na kaeleza mkasa mzima, huyo jamaa yako Alex alikuwa Mshamba tuu. Kama alikuwa mjanja na mtu anaejielewa hakuwa mtu wa kukimbizana na hao kina Gift angewapuuzia tu sababu kawazidi kwa kila kitu, lkn sasa yeye kwa kitendo alichofanya anaonekana alikuwa Mshamba tuu.
 
We mshamba tuu..
 
Alikuwa mshamba tu tjats why he died a coward death. Angekuwa mjanja asingejiua
 
kwa hiyo wewe ulikuwa fala tu enzi hizo na unaonyesha bado ni fala mpaka leo maana stori unayoelezea ya mwanaume mwenzio tu wewe huna legacy. Eti unasifia mwanaume mwenzio kuwa na albamu sijui ya NAS wakati ana 14, huko Moshi mlikuwa bado mifala fala basi. Vijana wengi wa Tanzania hasa Dar es salaam walikuwa tayari wanasikiliza hiphop miaka ya tisini. Hiphop imeingia tanzania mwishoni mwa miaka ya 80. 91 na 92 tulikuwa na albamu za Naught By Nature , NWA na wengi tu na tulikuwa watoto wa primary. Wewe Korosso aliwazidi ujanja sababu wote mlikuwa mapimbi huko moshi na bado hadi hii leo unaonekana bonge la mshamba usiye na exposure. Yale makundi ya hiphop ya miaka 90 unadhani yalipata influence wapi? Don't try to act Gangsta wakati ni Mama BoyπŸ˜€πŸ˜€
 
Hehe hehee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sasa ndo nakuambia na sisi tukiwa na miaka 10 tunasikiliza hip hop. Labda Moshi kwenu ilikuwa ni ajabu. Wewe ni fala tu na Keyboad warrior. Lakini behind the screen you are a scared little maza fakaπŸ˜€
 
Inasemekana ni madeni ya pombe. Kuna lolote la kweli hapo???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…