balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 16,841
- 15,673
Wewe una matatizo sana. Nimesema.liwe somo kwetu sote either positively ama negatively. Yes. Both ways, na ukiina mtu ana shari ya nn kumfata na hakua na time na wewe? Ndo maana masema epuka ugomvi wowote sehem kama hizo. Kwanini nikajitafutie kifo mimi kwa mtu tayari akiki imejaa pombe.Funzo liwe kwa wote anaemiliki na asiemiliki.
Msiwe bias eti funzo apate asie na Silaha tu. Eti mtu ukiwa na Silaha usiambiwe. Tembea hata hapo Burundi uone watu wasivyoogopa bunduki , una kibunduki chako ndio uogopwe. Uanze kutisha Tisha watu Kuna sehemu unazimwa na hicho kibunduki chako.
Tuseme wanaomiliki Silaha wazingatie miongozo ya kumiliki silaha uone Kama Kuna mtu atamfuata kutaka kumpokonya Silaha.
Huyo jamaa alikuwa chizi , eti Birthday keki likaweka Bunduki kwenye keki. Nguruwe kabisa lile Bora limekufa shetani lile.
Kaburi lake likapigwe pingu[emoji23][emoji23]Ila pia self defense mahakama ingejikuta inapima ulinganifu wa bastola na un armed person.Je Gift alikuwa na silaha?Matumizi ya bastola yangeonekana ni Matumizi ya nguvu kupita kiasi.Ingeonekana bwana Alex mwana wa koroso alitumia excessive force.Utata mwingine ungekuja kwenye idadi ya risasi zilizopigwa.Alex inaonekana alishot mara tatu kuelekea victim yuleyule.Je,hapo si ingeonekana alikusudia kuua? Ni bahati mbaya mara mbili kwamba Gift kafa na Alex kafa,hii kesi ingeset precedence muhimu Sana.Lakini inatakiwa kisa hiki kichunguzwe na kesi iendeshwe.Unaweza kukuta Kuna muhusika au wahusika wengine muhimu.Hata Kama hawapo,jinai ni jinai hata Kama mtuhumiwa amekufa inabidi haki itafutwe hata Kama mshtakiwa atakuwa ni marehemu.
Wasiwasi wangu Ni kwenye Matumizi ya bastola dhidi ya Gift ikiwa Gift hakuwa na silaha yoyote.Pili,kitendo cha Aoex kupiga risasi zaidi ya moja.Tatu,kitendo cha awali cha Alex cha kutoa na kuonesha silaha ikiwa ingetafsirika Kama maandalizi ya kufanya jinai.Nne,je ni kweli Gift alifanya threat ama provocation ya kiwango cha mtuhumiwa kutumia bunduki?Mwisho kabisa,je,katika tukio hili ,wahusika Ni hao wawili tu? Hakuna waliokimbia maeneo hayo hadi Sasa?Alikua ashinde hii kitu mkuu
Gift alikua anajifanya kama mbabe fulani hivi anaweza mnyang'anya bomba atakavyo....
Hii kesi Alex angeipangua vizuri tuu mkuu kama ulivyoainisha hapo
Aiseeee... pole sana sana sana. That was bad. And thank u for giving massive respect to a home. It real is a sacred place. Asante sana nimelibeba hili.Masela wenyewe hawa unawakaribisha home wanaanza kumendea daughters, hgs, ndugu na wives? Usijaribu kufanya hiyo kitu kabisa, masela mkutane juu kwa juu huko, home is the sacred place! Kuna jamaa yangu nilimkaribisha home mara mbili tu akadaka namba ya hg wetu na kuanza kumjaza maujinga, siku nililewa nikamtandika mbili za kidevu na urafiki ukaishia hapo!
Mtaa huu una guest nyingi nazani mumiliki ni mama mmoja. Nimelala sana mtaa huu.Dar es salaam street kwa wahaya?
Hakika. Amsha zako mapemaa. Maana mtaendesha makesi wee lakini mtu ndo keshakufa hivyo hata kama muuaji angepona. Hakuna chochotw kitachomrudisha marehem.Ndomana nasema ukishakuwa kwenye sehem ya vilevi, na kukatokea mambo kuoneshana, tishana silaha,hiyo sehemu uwezekano wa kutoana uhai ni mkubwa sana
Ova
Angenyang'anywa silaha. Ama angepewa probation period kama adhabu. Ila zaid wangeichukua tu.Au tuseme Alex angejaribu upande wa provocation Kama utetezi wake! Je, Gift alifanya nini na aliongea nini dhidi ya Alex? Je,alichofanya kinakidhi vigezo vya kuwa provocation?Kwenye kesi ya Jamuhuri dhidi ya Said Mwamwindi,provocation ilikataliwa ingawa mkuu wa mkoa komred Kleruu alithibitika kumfanyia dharau na uchokozi mtuhumiwa na ndipo mtuhumiwa alipofuata bunduki na kumlima marehemu.Sifahamu mahakama ingeliwekaje suala la Alex kutoa bastola yake mara kadhaa na kuombwa airudishe mahala pake na kisha yeye kuomba msamaha.Je,mahakama ingeamua vipi kama tabia hiyo aliyoionesha mtuhumiwa ingeonekana kuendana na sheria ya ushahidi ya Tanzania yaani TEA kifungu cha kumi kinachoeleza kuhusu maandalizi ambayo mtuhumiwa huyafanya kabla hajatenda jinai?
Kesi ikiendeshwa na hukumu kutolewa,kwa sheria za Tanzania ,hiyo kesi itakuwa sheria ambayo itatumika kwenye kesi yenye mazingira Kama hayo siku za usoni.Pia Kama Kuna wahusika wengine kwenye Hilo tukio watendewe haki na wahanga walipwe fidia.Kaburi lake likapigwe pingu[emoji23][emoji23]
Mlipa fidia hapa anakua nani mkuu maana marehem keshaenda zake. Ama assets zake mdo zingepigwa mnada?Kesi ikiendeshwa na hukumu kutolewa,kwa sheria za Tanzania ,hiyo kesi itakuwa sheria ambayo itatumika kwenye kesi yenye mazingira Kama hayo siku za usoni.Pia Kama Kuna wahusika wengine kwenye Hilo tukio watendewe haki na wahanga walipwe fidia.
Mauaji yoyote Tanzania kasoro ajali za barabarani yana adhabu na aghalabu ni kifungo kwa kuua bila kukusudia na kunyongwa hadi kufa kwa kwa kuua kwa kukusudia.Polisi na wengine wa serikali wanalindwa kisheria wanapokuwa katika kutimiza majukumu yao kwa mujibu wa sheria.Yule Bageni alikuwa anatekeleza majukumu yake binafsi kwa kisingizio cha majukumu ya kisheria na ndo maana anasubiri kitanzi.Angenyang'anywa silaha. Ama angepewa probation period kama adhabu. Ila zaid wangeichukua tu.
Hilo jukumu ingebidi liwe la serikali.Kwa hapa kwetu sidhani Kama hufanyika.Mlipa fidia hapa anakua nani mkuu maana marehem keshaenda zake. Ama assets zake mdo zingepigwa mnada?
Assume na mimi ningekuwa na kitu cha Alex hahaha, si ningemlaza jamaa? Kwa sisi waafrika mambo ya kutembeleana home bado sana, kuepusha maugomvi yasiyo na sababu ni kuliepuka kabisa hilo jambo.Aiseeee... pole sana sana sana. That was bad. And thank u for giving massive respect to a home. It real is a sacred place. Asante sana nimelibeba hili.
Basi wakati wa pombe kila.mtu aache kibomba chake kwenye safe
Huo upumbavu acha kuniQuote tena.Very very bad idea
Mlimpima wewe na daktari gani?
Gift na wapumbavu wengine,who are not trained to do that,wamejidanganya na upumbavu wao wa kijinga eti wanaweza mnyang'anya mwenye silaha silaha yake?
Kwanza kumfata tu,ni kosa maana ni unafanya reaching,which is aggression
Hilo tu linatosha wewe kuuawa na Alex ku walk out of court clean!
Shida ni Alex alipaniki tu na yeye kujiua,asingejiua
Tukikuambia Alex alikua ni mtu asie na uwezo wa kupiga yeyote maana alikua hana nguvu hizo hata kidogo....
Yeye alikua anawashinda wenye uwezo hizo kwa kua na vitu very advanced zaidi yao toka shule hivyo alikua popular sana
Na I can attest kabisa hiyo bunduki kaipata kutoka na tabia yake ya kupenda vitu unique na kua ahead of his class of people...As we speak rika lake nawajua sidhani kama kuna mwenye bunduki yake anayomiliki kihalali...sidhani hata tunaweza kua na wazo hilo mpaka tukaenda kuomba,still this guy was so unique kaipata ahead of his peers....he was legendary
Sasa Mimi Nina matatizo gani kwa Jitu nililolijua zaidi ya kuona maiti Yake ikiwa imetapakaa damu. Simjui na Sina wivu kwa yoyote naongea ku-cement hoja zangu kuwa alikuwa limbukeni na Mjinga.Wewe una matatizo sana. Nimesema.liwe somo kwetu sote either positively ama negatively. Yes. Both ways, na ukiina mtu ana shari ya nn kumfata na hakua na time na wewe? Ndo maana masema epuka ugomvi wowote sehem kama hizo. Kwanini nikajitafutie kifo mimi kwa mtu tayari akiki imejaa pombe.
Na kuweka bastola kwenye keki inakuuma nini wewe? Hicho ndicho akipendacho. Na kama unapenda mbususu pia kwenye keki yako iweke na tualike tuje kula. Sijaona kosa hapo zaidi sasa huo ni wivu. Unajitesa bure tu. Pumzika ndugu yangu leo ubwabwa day. Karibu home[emoji28]
Ngedere wewe acha kutisha watu kaifuate maiti yako ukaifufue ng'ombe wa kijani wewe.Hivi na wewe ulipo ni quote ulikua unadhani unam-quote nani kwa mfano?
Wewe ni confused person
Eti umeni quote kama reply,nakujibu eti unafufuka nisiku quote,motherfvcker are you schizophrenic?
get the fvck outta here!
Unajiona una akili sana?Yanini unajibu comments za asie na akili ukijibiwa unaanza kujifanya tough guy?
Utapigwa risasi ya kichwa mbuzi wewe.....maiti kama wewe ni za kuua zote,mnajifanya mpo physical ila mkitolewa bomba mnaanza kulia lia....maiti nyie.....kill all of you motherfvckers!
Ooh, yeah, alex ana makosa sana yes. Sanaa sana sana. Shooting more than once inaonekana alidhamiria. Lakini kwenda kumnyang'anya mtu silaha yake angali huna hata mafunzo that was even more risky. And i will never dare maana kuna time najikutaga mbabe. Na nimekomaaa. Nimejifunza. Alex angekula mvua kadhaa naamini hivyo. Napambanaje na mtu mwenye silaha tena ya moto angali hajanichokoza? Si unamuacha na ulimbukeni wake. Ungepungukiwa nini mfano. Na si kwamba tunafurahia kifo cha gift kama watu wanavyoamini hapana. Ila wahenga husema heri nusu shari kuliko shari kamili. Alex alitumia nguvu zaidiMauaji yoyote Tanzania kasoro ajali za barabarani yana adhabu na aghalabu ni kifungo kwa kuua bila kukusudia na kunyongwa hadi kufa kwa kwa kuua kwa kukusudia.Polisi na wengine wa serikali wanalindwa kisheria wanapokuwa katika kutimiza majukumu yao kwa mujibu wa sheria.Yule Bageni alikuwa anatekeleza majukumu yake binafsi kwa kisingizio cha majukumu ya kisheria na ndo maana anasubiri kitanzi.
Then doesnt make sense. Ndo kama hawa wanaofungwa muda mrefu bila hatia aisee. Mtu anatoka tu bila fidia. Very badHilo jukumu ingebidi liwe la serikali.Kwa hapa kwetu sidhani Kama hufanyika.
Maafaka ya nyoko!!!Naona unaendelea kua emotional
Brother sikiliza,emotions zako ni useless hapa
Ruka ruka kama kiarage ila at the end of the day weka **** sawa dick will come in steady!
Ni hivi,wewe mtetee Gift na sisi tunamtetea Alex,sasa sijui emotions zinatoka wapi wewe useless maafaka?