balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 16,841
- 15,673
Hii story sijaielewa kabisa.Ni dadavulie mkuuAdante kwa darasa. Kumbe serikali ingejamlipa mama wa huyu kibaka[emoji23][emoji23] na kiukweli watu wanamtafutaa Ally jamani. Yaan wana usongo nae. Last kuiba upande ule mwingine wa morogoro road mwenzake alikamatwa akakatwa bega lote likashuka na mkono, ally alikimbia. Yaan ana mbio jamani[emoji23][emoji23] sijui kama mwenzake alijapona. Nna uchungu nae ila hii story imenibadilisha. Sasa huwa ana ngumba na nyumba ya kuiba. Kwetu anapaogopa ila kuna apartments ndo daily anaiba dirishani kupitia geti lao. Nasubiria nione tu siku linatekelezwa tukio shenzii.
Unafahamu huyu mtu akifa silaha inarudishwa serikalini na hairithiwi?Hivi kumiliki ni sawa na kukodishwa?
Serikali haijamkodisha yeyote chochote...imempa leseni baada ya kuridhika amepitia vigezo vyote na yeye kununua silaha
Hajakodishwa pahala
Whatever the case, uhai umeshaondoka hapo kwa vijana hao. Ushamba si ushanba just get some lessons. Ukitaka jifunza jambo usiweke hisia.Wote washamba tu,hao mayanki wa Moshi ,Arusha wamejazana huko Sinza,Kino,Tabata ni wakuja wa 2010+ huko.
Hapo ukute walikua na biff kumgombea dem
Dem mwenyewe ni yule mchaga wa Kimara aliyemchoma bwanaake ndani ya nyumba.
Connect dots
Afu mbona kama we ndio umepanic sana kifupi huyo jamaa yenu Alex alikuwa fala tu.Mkuu
Sina cha kukusaidia mtu wenu kuuawa
Najua jinsi mlivyo frustrated
Mtajijua
Kauwawa baada ya nyie kujifanya mnajua sana kufata mtu kutaka kuchukua bunduki yake wakati hamna utaalamu wa leseni ya kufanya hivyo
Nyie ni waweka stickers kwenye magari,sio maaskari
Alex katoa dawa nzuri sana kwa Gift,I wish na wewe ungepeleka tumbo pia,ungekuta hatuchati na taahira kama wewe mida hii
Otherwise,endeleeni kulia,ni haki yenu mmepoteza taahira lenzenu....
I wish ningekua na uwezo wa kuwasaidia,msaada zaidi naoweza kuwapa ni kuja hapo na kuwapiga risasi wote mumfate Gift huko alipo maana hamna akili nyote
Mkuu ,turudi Kwanza kwenye mjadala mahakamani kabla ya hukumu.Angenyang'anywa silaha. Ama angepewa probation period kama adhabu. Ila zaid wangeichukua tu.
Username yake.. typo ilihusika.. linaeleza yoteKamfunze Gift mkuu
Ni ajabu jitu zima lipo kwenye internet eti linajipa cheo la kufunza internet characters adabu
Huelewi kabisa unaweza ukawa unachati na machine na wala sio human being
Hata kama ni human being humjui
Tumia muda wako kufundisha watoto wako adabu walao watakuelewa,ni ajabu eti leo ufundishe mtu mzima mwenzio adabu
Plus Wyatt ni internet character dont be worked out mzee
Upumbavu gani ulikuwepo eneo la tukio we uko sawa kweli kama una undugu na huyo muuwaji kifupi nilikuwepo karibu tukio linatokea na walio shuhudia tukio wametuhadithia huyo muuwaji baada ya Gift kumkataza na alimwambia kwamba “Acha kuwatisha watu “jamaa alikuwa kainama aliponyanyua uso akampiga nayo ya mguu then mbili za tumbo akapiga tano hewani.Fact is,kauwawa sababu ya upumbavu wake,thats fact,mengine ni makelele unaleta
Mchakato ni mrefu sanaSilaha hairidhishwi kwa mtu asie na leseni halali....I can see the reason
Which is correct and I agree
Hiyo haimaanishi "aliazimishwa"!
Transfer ya umiliki ipo iwapo anapewa nae ana leseni na anakubalika
Kuna kibaka mtaani kwetu alikua ananithreat. Mamake ameolewa huku mtaani kwetu. Kamtaa ketu hakatoki. Woote wala nguruwe. Huyu kijana babake ni msambaa. Alishafariki. Nadhani malezi ya mamake yamemuharibu yale ya kisambaa. So kijana amekua na tendency ya wizi. Yaan mwizi kweli. Wenzake walishauawa sana. Yeye anatoboa. Wanasemaga ana hirizi. Sasa hiyo siku alipata kibarua jirani hapa. Kukawa kuna kupishana kiswahili na wamama wa pale. Ktk kutaka kueleweshana ndo akaingilia ananifukuza eneo lenyewe. Ndo nikamwambia we kama nani hapa. Na inakuhusu nn? Nikamwambia sometimes mnajitafutia matatizo kwa mambo yasiyokuhusu. Akanitishia sana kunifumua nikamwambia we niguse tu nikufurahishe. Akanitishia sana mpk mishipa ikamsimama. Akaongea shit nyingi sana. Basi nikaweka moyoni nikinunua ile bastola tu tayari nitadeal naye. Either nimlime miguu yote ama nivunje mbavu na nilikua naambia mpk majirani. Yaan ni kinyongo nilibeba. Na vile aliahidi kwamba nitaingia 18 zake nikasema basi poa. Ijapokua huwaga hatuna issue yoyote ya kutukutanisha. Haishi huku ila kutwa anakuja shinda mtaan hapa ndo anaiba iba. Nikasema siku tu aibe nisikie mwizi natoka na bomba. Ni mtu niliapia kbs namla shaba. Sema sasa hii kesi ya hawa kwakweli imenibadilisha. Nimeona i am too weak kumiliki hiki kitu. Kitanigharimu. Thats why nasema kila mtu ajipime kama amejitosheleza kumiliki hiki kitu. Na nilianza fanya follow up na mzee ananijaza kichwa lazima nikumilikishe. Mimi ni dhaifu[emoji23][emoji23] maana kupigana naye nisingeweza hivyo ningetumia silaha. Niliona kama amenidhalilisha sana hivyo i carried my pride with me .Hii story sijaielewa kabisa.Ni dadavulie mkuu
Kuna ndugu yetu niliona hamnazo kbs. Nduguye alipofariki eti akakimbilia bastola anadai alikua akimdai marehemu Na huo ndo urithi wake. Na kama sikosei huwez amini alijamilikishwa. Sisi tuliambiana haya mambo ya silaha tukae pembeni yasije tukuta bure yale ya yule dada wa barclays pale ilala bungoniUnafahamu huyu mtu akifa silaha inarudishwa serikalini na hairithiwi?
Nimewaza hivyo hivyo,yule mnapangana kishkaji tu,e bana mi naenda kuomba bia,in between tunkunywa namkaba mwingine achomoe bastola chap,hapo hapo tunampiga terror ye mwenyewe.Vijana wapewe elimu ya kumuhandle mtu aliyeshika bomba ,hauwezi kumuendea kichwa kichwa lazima akupasue tu hakuna namna.
Lazima alex angekua na la kujibu. Amefyatua risaisi nyingi. That means alidhamiria. Gift hakua na silaha. Alikuja physical. Na kuonyesha silaha ni kosa kisheria. Ndo maana nasema hii ni ngumu kwetu wengi. Tutawashwa tukitaka kila mtu ajue unamiliki ili uogopwe. Hata mimi naamini ingekua hivyo. Ningeiweka kinamna tu hata kibahati mbaya wajue ninayo wale wanaopendaga ingilia anga zangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]Mkuu ,turudi Kwanza kwenye mjadala mahakamani kabla ya hukumu.
Umegonga mule mule.. Hawa walikuwa wanagombea baamedi pale.. Huyu Alex alikuwa anapiga piga ngozi.. Sasa tabia yake ya ukorofi na show off yule baamedi akawa anamkataa hivi.. Jamaa nae kulazimisha penzi Kwa demu na bili akawa halipi kisa demu hamtaki...Wote washamba tu,hao mayanki wa Moshi ,Arusha wamejazana huko Sinza,Kino,Tabata ni wakuja wa 2010+ huko.
Hapo ukute walikua na biff kumgombea dem
Dem mwenyewe ni yule mchaga wa Kimara aliyemchoma bwanaake ndani ya nyumba.
Connect dots
Ugomvi unaotokea Baa kati ya wanaume mara nyingi asilimia 99 chanzo ni Baamedi au mwanamke flani hapo . Kuna jamaa juzi kapigwa chupa na mwenzie na mshkaji aliempiga chupa mwenzie ni mpole sanaa na hanaga helaa zile dharau mbele ya demu ambae pia nae anamkubali aisee kamlamba mtu chupaa...[emoji3][emoji3]Umegonga mule mule.. Hawa walikuwa wanagombea baamedi pale.. Huyu Alex alikuwa anapiga piga ngozi.. Sasa tabia yake ya ukorofi na show off yule baamedi akawa anamkataa hivi.. Jamaa nae kulazimisha penzi Kwa demu na bili akawa halipi kisa demu hamtaki...
Hata siku ya tukio baamedi alikuwa anamlalamikia sana mshikaji hadi Kwa meneja ndio akaomba msamaha vyombo vikaendelea... Kinyongo Sasa akaitoa Tena.. Demu anaogopa Kwa wengi akaenda kujibanza Kwa gift.. Gift akavimba demu wake asizinguliwe.. Maana ndio anapiga ngozi baada ya Alex kutemwa Kwa ulimbukeni wake wa chuma... Shits get ugly.. Dogo akajitutumua kiume kumkabila Alex ili asionekane mnyonge.. And that was the mistake..
Ndio yakafikia hapo yalipoishia..
Aisee sijui unaongea nini,hao madem mnawaita km mboo ingekua kifutio kwangu ningebaki na pumbu tu,Hahaaa
Hivi kwanini mna chuki sana na hawa machalii wa Arusha+Moshi?
They take more girls than all of you labda?
They make more money than all of you labda?
Naomba legitimate sababu
Dah 3rd version ya tukio imeleta mwanga.Umegonga mule mule.. Hawa walikuwa wanagombea baamedi pale.. Huyu Alex alikuwa anapiga piga ngozi.. Sasa tabia yake ya ukorofi na show off yule baamedi akawa anamkataa hivi.. Jamaa nae kulazimisha penzi Kwa demu na bili akawa halipi kisa demu hamtaki...
Hata siku ya tukio baamedi alikuwa anamlalamikia sana mshikaji hadi Kwa meneja ndio akaomba msamaha vyombo vikaendelea... Kinyongo Sasa akaitoa Tena.. Demu anaogopa Kwa wengi akaenda kujibanza Kwa gift.. Gift akavimba demu wake asizinguliwe.. Maana ndio anapiga ngozi baada ya Alex kutemwa Kwa ulimbukeni wake wa chuma... Shits get ugly.. Dogo akajitutumua kiume kumkabila Alex ili asionekane mnyonge.. And that was the mistake..
Ndio yakafikia hapo yalipoishia..
Unamaanisha nini? Unamchukua yeyote unayemtaka? Je, kama hataki? Kwa hiyo unambaka?Aisee sijui unaongea nini,hao madem mnawaita km mboo ingekua kifutio kwangu ningebaki na pumbu tu,
Kwangu demu sio issue kabisa,nachukua yeyote popote nikitaka.
Sina hata mood hiyo.
Pesa ninayo kunitosheleza na familia yangu.
Bastola sichukui,nishawai kuona madhara ya bunduki.
Hao machalii ndio wanaharibu huo mji,mpaka papuchi zimekua na bei za ajabu wakati enzi zetu tunakula bata,mzigo badae ndo unamtoa ulichonacho.
Siku hizi mayanki washamba kibao walioletwa na wajomba zao hasa toka huko Moshi,Ar na wakapewa vikazi vya kujuana ndo hawa Kina korosho unanunua bastola miezi mi3 unaua na kujiua WTF was that.
Kwa funzo hili najua wengi wataziacha nyumbani.Na ufiche maana mtu yeyote akiitumia liability ipo kwako mmilkiLazima alex angekua na la kujibu. Amefyatua risaisi nyingi. That means alidhamiria. Gift hakua na silaha. Alikuja physical. Na kuonyesha silaha ni kosa kisheria. Ndo maana nasema hii ni ngumu kwetu wengi. Tutawashwa tukitaka kila mtu ajue unamiliki ili uogopwe. Hata mimi naamini ingekua hivyo. Ningeiweka kinamna tu hata kibahati mbaya wajue ninayo wale wanaopendaga ingilia anga zangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
Waogope aisee. So wote wangekua na la kujibu.