Dar: Mauaji Lemax Bar Sinza kwa Remmy. Kabla ya kujiua, Alex Korosso alimpiga risasi Gift Mushi

Kwenye maeneo ya pombe,watu wakishapombeka,pombe imeingia ubongoni
Maelewano ni mdg sana
Lolote hutokea

Ova
 
O.M.G[emoji849][emoji849]

Huyo mke wake nani alimchoma moto?
 
Naomba mwenye ufahamu anijibu maswali yafuatayo.

1. Huyo Koroso ana mahusiano yeyote na Jaji Koroso??

2. Kuna jamaa anaitwa Benedict Koroso are they related??

Asante.
Hukutakiwa kum drugg huyo Winni Koroso kwenye ujinga wa humu...?
 
Huyu jamaa kafa kizembe sana.....
angekausha tu
unajua mkuu ukiangalia hii thread unashindwa hata kucoment kitu...huyu dogo katika kuongea na watu wa mezani kwake...kuna neno aliliongea Alex akalisikia akageuka akamchekiii halafu Akageuka akatulia..hilo neno kumbe lilimkera Alex muda akawa ameliweka rohoni
 
Nimekuelewa ,pole Sana .Cha muhimu nikusamehe na kusahau na kujua kwamba kumiliki silaha Ni hatari Sana.
 
Huyo kweli hamnazo. Anatakiwa akaikabidhi Kama anaitaka aanze mchakato upya wa kupewa.
 
Hata mimi nilihisi hivyo .....
lazima huyu Gift kuna neno alitamka ndio lililomkosti.....
na hilo neno ndilo lilimchukiza Alex sana.....
mtu hawezi akakupiga shaba zote bure hivi hivi!!!
 
Huyo ni mama mdogo siyo mama mzazi
 
Jirani yenu pcb alikuwa Kimaro mbao
 
Sawa kumbe nyie ofisi yenu ndo iko pale kontena unaingia kushoto unatokea st. Peters eehh kumbe ndo mlimuua jamaa yetu tumewatafuta kinyama.
 
Sasa hapa unamtaja ndugu yangu tutauanaaaaa. Weee weeee weee.... yaishie hapo
 
Miss pablo kumpiga mtu risasi 3 ulidhamiria kufanya mauaji,inaonekana walevi siku hiyo walikua fiti wakatoka nduki...umeshampiga risasi ya mguu then unampiga ya kifua bdae kichwani,marehemu alikua zaidi ya mnyama
Ni kweli kabisa alikosea sana. Ila tuepuke haya mambo. Kupambana na mtu mwenye silaha ya moto ni hatari hasa ukiwa huna mafunzo
 
Nimekuelewa ,pole Sana .Cha muhimu nikusamehe na kusahau na kujua kwamba kumiliki silaha Ni hatari Sana.
Eeh, sitaki tena. Sina uvumilivu hasa kwa anayeninyanyasa kijinsia. Si kama lile lilevi tu. Nna kinyongoo. Lazima lkn nimwoshee huyu kibaka bado roho haijasuuzika[emoji23][emoji23] bastola sitaki ila lazima nimuoshee kimkakati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…