Mapank
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 4,130
- 6,097
Wakumbuke tu gas iliyopo Mtwara haiitaji passport kwenda nchi nyingine. Kijiografia tupo jirani na Mozambique. Inawezekana tunashare gas deposits wakati sisi tunajishauri wenzetu wanainyonya tu. Tukija kushtuka mzigo umekata tayari...Hii win loose ilikua ni fikra potofu, kuamini kuwa kila jambo lina upigaji, jambo ambalo halikuakisi uhalisia. Hata kama kulikua na viashiria vya upigaji, si yangefanyika mabadiliko ya watendaji lakini mradi ukaendelea? Hii pia inagusa na mradi wa NLG kule Lindi ambao umesuasua mradi mkubwa kabisa, lakini pia imehusisha miradi ya Gesi kule Mtwara Makampuni kuondoka.