IdiotImekaajee hiii wadau aingii akilini billionaire namba 4 Africa anatekwa kama chupa ya Chai kiasi kama hiki yani hata dereva hana dah
Hivi ameshindwa kutembea na wapambe japo 4 kwenye safari zake japo kigari kimoja nyuma chengine mbele
Sema nn kumbe ukizaliwa ushuwani unajisahau kiasi hiki?
Sisi tunaotokea pangu pakavu tukiziotea aiseee naweza hata kukodi company 7 za ulinzi zinilinde nikienda bataz na totoz...
Bongo nyoso
Mzee usi ishi kwa kukariri alie kwambia mo hana personal driver ama body guard nani?
Sometimes shit happen izo assumptions za vijiweni subiri nawe yaje yaku kute
Ina mana yanga hamsikii tunamtafuta Mo
Mnatuoneaaaa[emoji4] [emoji4] [emoji4]Mo atakuwa ametekwa na Yanga![emoji16][emoji16][emoji16]
Mmefulia sana sasa hivi mnatafuta hela kibabe sasa![emoji4][emoji4][emoji4]Mnatuoneaaaa[emoji4] [emoji4] [emoji4]
Hivi hajapatikana kweli ?Mmefulia sana sasa hivi mnatafuta hela kibabe sasa![emoji4][emoji4][emoji4]
Yanga wamesema hawamuachii hadi wapewe million 500![emoji4][emoji4][emoji4]Hivi hajapatikana kweli ?
LEO HATA KAULI MOJA SIJASIKIAHivi hajapatikana kweli ?
Hahaha mkuu umemmaliza. Yani watekaji wakija wataambulia tecno c8Yamkute yapi? Sasa hyu atatekwa na nani? Huyu aogope tu Magonjwa ya milipuko, Ajali N.k N.k kutekwa ataendelea kusoma habari za waliotekwa tu!!!
Sio mbaguzi ni kaburu tuuu( kwa sauti ya Nyerere) Halafu mtu anajinadi anamkubali baba wa taifa. Lakini ndo walivyo watawala wa awamu hii ni chuki za wazi dhidi ya watu wenye asili isiyolingana na ya kwao. Kabla hatujaanza kuwakaburu hao, tungeanza na magugu maji nae si ana asili ya Rwanda? Na mke wa mwenye mkoa wake nae asili yake wapi? tuanzie hapoSikutegemea kwamba wewe ni mbaguzi kiwango hichi.
Haka kamchezo haka sikaelewiiiiLEO HATA KAULI MOJA SIJASIKIA
Yawezekana pia wamesema ni wazungu ili watu waingie vyoo vya walemavu.Bila shaka hili la kujua kuwa watekaji ni wazungu likikuwa na faida kubwa kwa wana usalama. Walikuwa wamepunguziwa kazi ya kudeal na watu wote na kuamua kudeal na wazungu ambao niwatu wachache.
Kusema kuwa watekaji ni wazungu si kunawaalert wajipange zaidi. Na pengine walitumia uzungu wakijua hamna mtu atawahisi sasa wakijua wamejulikana watajipanga zaidi.
kiusalama kulikuwa na faida ya kusema watekaji ni wazungu? kuna weza kuwa na lengo lingine la kusema watekaji ni wazungu? sielewielewi!!!?