Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

ndo maisha jamani cha msingi tuombe tuu atoke salama! ila dah jamani alikuwa anajiweka kama mark zurkergbu.. wa facebook no show offs, no any kind of much know stuffs
just yeye na pistol gun yake tuu na dereva!!!! !!

Cc. mwarabu fighter fursa hiyo mkuu .
 
Imekaajee hiii wadau aingii akilini billionaire namba 4 Africa anatekwa kama chupa ya Chai kiasi kama hiki yani hata dereva hana dah

Hivi ameshindwa kutembea na wapambe japo 4 kwenye safari zake japo kigari kimoja nyuma chengine mbele

Sema nn kumbe ukizaliwa ushuwani unajisahau kiasi hiki?

Sisi tunaotokea pangu pakavu tukiziotea aiseee naweza hata kukodi company 7 za ulinzi zinilinde nikienda bataz na totoz...

Bongo nyoso
Idiot
 
Mzee usi ishi kwa kukariri alie kwambia mo hana personal driver ama body guard nani?

Sometimes shit happen izo assumptions za vijiweni subiri nawe yaje yaku kute

Yamkute yapi? Sasa hyu atatekwa na nani? Huyu aogope tu Magonjwa ya milipuko, Ajali N.k N.k kutekwa ataendelea kusoma habari za waliotekwa tu!!!
 
I think kuna mkono wa mabepari hapa na si bure, maana washaona speed ya Tz kuinuka kiuchumi
 
Yamkute yapi? Sasa hyu atatekwa na nani? Huyu aogope tu Magonjwa ya milipuko, Ajali N.k N.k kutekwa ataendelea kusoma habari za waliotekwa tu!!!
Hahaha mkuu umemmaliza. Yani watekaji wakija wataambulia tecno c8
 
Sikutegemea kwamba wewe ni mbaguzi kiwango hichi.
Sio mbaguzi ni kaburu tuuu( kwa sauti ya Nyerere) Halafu mtu anajinadi anamkubali baba wa taifa. Lakini ndo walivyo watawala wa awamu hii ni chuki za wazi dhidi ya watu wenye asili isiyolingana na ya kwao. Kabla hatujaanza kuwakaburu hao, tungeanza na magugu maji nae si ana asili ya Rwanda? Na mke wa mwenye mkoa wake nae asili yake wapi? tuanzie hapo
 
Jamani hapa Bongo tunasifika kwa kuwa na waganga wa jadi na kamati za ufundi, hivi wameshindwa kupiga ramli itayosaidia kuleta mwanga kidogo? au ramli zao zinaweza tu kuchonganisha watu na ndugu zao basi. Kama ni hivyo basi kuanzia leo watanzania wote tuungane kuwapiga vita hawa wanaojiita waganga na waganguzi maana hawana faida yeyote.
 
Bila shaka hili la kujua kuwa watekaji ni wazungu likikuwa na faida kubwa kwa wana usalama. Walikuwa wamepunguziwa kazi ya kudeal na watu wote na kuamua kudeal na wazungu ambao niwatu wachache.

Kusema kuwa watekaji ni wazungu si kunawaalert wajipange zaidi. Na pengine walitumia uzungu wakijua hamna mtu atawahisi sasa wakijua wamejulikana watajipanga zaidi.

kiusalama kulikuwa na faida ya kusema watekaji ni wazungu? kuna weza kuwa na lengo lingine la kusema watekaji ni wazungu? sielewielewi!!!?
 
Yawezekana pia wamesema ni wazungu ili watu waingie vyoo vya walemavu.
 
Mambo sasa tangu ahaamie dsm, sio mtu wa kumwamini...

akili yake inafanya kazi kwa shinikizo na kwa uoga sana
 
Kuna Makosa kadhaa Vyombo vyetu vya Ulinzi huwa wanafanya wanapo report Matukio

Kutaja udhaifu wa ushahidi uliokusanya ni kosa kubwa Sana Kwa wenye ujuzi kiasi wa Masuala hayo

Kutangaza Kuwa CCTV Camera hazioneshi Vizuri sura Za Watuhumiwa
Hazioneshi Mlango walioingilia n.k maana yake unawafanya wahalifu watuambie udhaifu uliopo kwny collected evidence Na hivyo kujipanga kutokea hapo Na Pia Hata suspect utakaowakamata kuanzia Leo watajua Kwa kiasi gani kuna udhaifu kwny ushahidi mlionao!

Kwa Mfano Kama wahalifu Ni waarabu/ Wahindi Au wachina lakin nyie mme tangaza Kuwa Ni Wazungu maana yake tayari washajua mpo off point hivyo wanaweza kuchomoka kirahisi

Tusiwape Fursa Wanasiasa Kuwa wasemaji wa Masuala haya Kwa Kuwa kuna taarifa zingine Ni muhimu Kwa wakati Fulani but sio for public consumption Kwa wakati huo

Kwenye Shambulio la 7th August, 1998 pallet Ubalozi wa America Ally Hassan Mwinyi Road walipata evidence nyingi Sana Za awali lakin hawaku expose chochote bali tulikuja kujua Baada ya Khalifa Mohamed kukamatwa Bungoni Ilala Na kupelekwa America Na kuja kugundulika Mengi wakati kesi inaendelea

Kuanza kufafanua features Za collected evidence Ni kosa kubwa Sana tunafanya Kwa Kujua Au kutojua

Unapotaja mbinu walizotumia wahalifu hadharan maana yake unatoa Semina Elekezi Kwa wahalifu wengine waige bila ya kutambua
 
Back
Top Bottom