Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Kama unaamini uweza wa Mungu, tuseme wote kwamba wasiojulikana watajulikana.
 
Masikini atekwi,
 
..........kisha wakamteka Barbarosa nikanyamaza kwa vile mimi sio mndengereko bali msambaa, waliponifata msambaa hakukuwa na mndengereko wakunisemea
 
Yaani Mimi kwa tukio hili nimeumizwa sana moyoni
 
Nalilisema sikuaminika kabisa, ila nasubiri kuona mo akirudi uraiani aendelee na ujenzi wa taifa
 
Yani mwenye akil pekee ndo atajua ni fasihi gani umetumia umetisha mkuu wengi hawajui haya but tunakoelekea ndo huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…