Walnut Creek
JF-Expert Member
- Mar 17, 2009
- 5,830
- 6,315
Kuwa macho usitekwe..hadi wanastuka humu JF masaa mia na ushee yatakuwa yashapita.Unitafute kwa ishu gani??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuwa macho usitekwe..hadi wanastuka humu JF masaa mia na ushee yatakuwa yashapita.Unitafute kwa ishu gani??
Kama unaamini uweza wa Mungu, tuseme wote kwamba wasiojulikana watajulikana.Walikuja wakamteka nanihii, sikusema chochote kwakua hakunihusu, wakarudi wakamteka nanihii Yule, sikusema kitu maana niliamini ni Umbea wake mwenyewe, alipojeruhiwa nanihii sikusaidia kwakua aliingilia mambo yasiyomhusu, lakini walikuja wakamteka Mwandishi, sikusema chochote kile maana Mimi taarifa nazipata JF
... Hatimaye wakanijia! Sikua na mtetezi maana wote walishatoweshwa
Masikini atekwi,Walikuja wakamteka nanihii, sikusema chochote kwakua hakunihusu, wakarudi wakamteka nanihii Yule, sikusema kitu maana niliamini ni Umbea wake mwenyewe, alipojeruhiwa nanihii sikusaidia kwakua aliingilia mambo yasiyomhusu, lakini walikuja wakamteka Mwandishi, sikusema chochote kile maana Mimi taarifa nazipata JF
... Hatimaye wakanijia! Sikua na mtetezi maana wote walishatoweshwa
Unajua ule msemo was the world is not fair? Everyone is treated differently due to their position in the society...Lipite tu wangapi wamepotea.
Kama unaamini uweza wa Mungu, tuseme wote kwamba wasiojulikana watajulikana.
Go to cemetery you will find the equalityAll people are equal, but some are more equal than others.
Masikini atekwi,
..........kisha wakamteka Barbarosa nikanyamaza kwa vile mimi sio mndengereko bali msambaa, waliponifata msambaa hakukuwa na mndengereko wakunisemeaWalikuja wakamteka nanihii, sikusema chochote kwakua hakunihusu, wakarudi wakamteka nanihii Yule, sikusema kitu maana niliamini ni Umbea wake mwenyewe, alipojeruhiwa nanihii sikusaidia kwakua aliingilia mambo yasiyomhusu, lakini walikuja wakamteka Mwandishi, sikusema chochote kile maana Mimi taarifa nazipata JF
... Hatimaye wakanijia! Sikua na mtetezi maana wote walishatoweshwa
Dah 255Kibunga na upepo vitu viwili tofauti.Upepo unapita tu kibunga kinaacha maafa usiseme.
Amen mkuuAmen Amen! Tutende jambo Mungu atatusaidia tukijisaidia!
[emoji23]..........kisha wakamteka Barbarosa nikanyamaza kwa vile mimi sio mndengereko bali msambaa, waliponifata msambaa hakukuwa na mndengereko wakunisemea
naachaje kusikitika sasa wakati kafanyiwa kitendo cha kinyamaLakini umesikitika?
Every human being has God given right to life and freedom. We hold this truth as self evident.Yaani Mimi kwa tukio hili nimeumizwa sana moyoni
Yani mwenye akil pekee ndo atajua ni fasihi gani umetumia umetisha mkuu wengi hawajui haya but tunakoelekea ndo hukoWalikuja wakamteka nanihii, sikusema chochote kwakua hakunihusu, wakarudi wakamteka nanihii Yule, sikusema kitu maana niliamini ni Umbea wake mwenyewe, alipojeruhiwa nanihii sikusaidia kwakua aliingilia mambo yasiyomhusu, lakini walikuja wakamteka Mwandishi, sikusema chochote kile maana Mimi taarifa nazipata JF
... Hatimaye wakanijia! Sikua na mtetezi maana wote walishatoweshwa