Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Walikuja wakamteka nanihii, sikusema chochote kwakua hakunihusu, wakarudi wakamteka nanihii Yule, sikusema kitu maana niliamini ni Umbea wake mwenyewe, alipojeruhiwa nanihii sikusaidia kwakua aliingilia mambo yasiyomhusu, lakini walikuja wakamteka Mwandishi, sikusema chochote kile maana Mimi taarifa nazipata JF
... Hatimaye wakanijia! Sikua na mtetezi maana wote walishatoweshwa
Kama unaamini uweza wa Mungu, tuseme wote kwamba wasiojulikana watajulikana.
 
Walikuja wakamteka nanihii, sikusema chochote kwakua hakunihusu, wakarudi wakamteka nanihii Yule, sikusema kitu maana niliamini ni Umbea wake mwenyewe, alipojeruhiwa nanihii sikusaidia kwakua aliingilia mambo yasiyomhusu, lakini walikuja wakamteka Mwandishi, sikusema chochote kile maana Mimi taarifa nazipata JF
... Hatimaye wakanijia! Sikua na mtetezi maana wote walishatoweshwa
Masikini atekwi,
 
..........kisha wakamteka Barbarosa nikanyamaza kwa vile mimi sio mndengereko bali msambaa, waliponifata msambaa hakukuwa na mndengereko wakunisemea
 
Yaani Mimi kwa tukio hili nimeumizwa sana moyoni
 
Nalilisema sikuaminika kabisa, ila nasubiri kuona mo akirudi uraiani aendelee na ujenzi wa taifa
 
Huyu atakuwa sio makonda maana sio kwa kuandika namna hii
FB_IMG_15393625615326830.jpg
 
Walikuja wakamteka nanihii, sikusema chochote kwakua hakunihusu, wakarudi wakamteka nanihii Yule, sikusema kitu maana niliamini ni Umbea wake mwenyewe, alipojeruhiwa nanihii sikusaidia kwakua aliingilia mambo yasiyomhusu, lakini walikuja wakamteka Mwandishi, sikusema chochote kile maana Mimi taarifa nazipata JF
... Hatimaye wakanijia! Sikua na mtetezi maana wote walishatoweshwa
Yani mwenye akil pekee ndo atajua ni fasihi gani umetumia umetisha mkuu wengi hawajui haya but tunakoelekea ndo huko
 
Back
Top Bottom