Kwa vile kila mtu yuko entittled kutoa mawazo yake acha na mimi nitoe yangu, MODS MODS MODS mjifunze kuvumilia mawazo tofauti na mpungeze kuunganisha nyuzi.
Watoto kila siku wanapotea,watu wazima wanapotea, wengine wanatekwa mara Nondo mara Roma.
Tuseme Mo akaamua kutumia nafasi yake kwenye jamii na kuamua kuaddress tatizo kwa njia ambayo wengi hatukutegemea, yaani akastage utekaji na kila kitu, na hili kulifanya tukio likaribiane na ukweli basi ikabidi hata familia yake hasiishirikishe ili kuongeza awareness kuhusu matukio ya utekaji yanayoshika kasi kwenye jamii.
Wakuu naomba ije kuwa hivi ili Mo arudi akiwa salama bila kuumia hata kucha.