Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Huyu jamaa akirudi siioni posiblity ya yeye kubaki Tanzania, think most of his/their investments zitahamishiwa nchi nyingine; Tuombe Mungu arudi akiwa HAI tu. But again, jamii nyingi za Waasia hasa Wahindi hope kuna kitu wanaweza kufanya. Huyu mtu aliyefanya hili tukio anatakiwa kupewa adhabu kubwa cause amechafua image ya Tanzania
 
Hata we mwenyewe msagasumu Nina imani unatania tu.vipi ukisema thread yako ilifaa tu iwe jf utani forum
 
Tutajua amehonga ndiyo akaachiwa kwa masharti aseme kuwa alikuwa anatania
 
Nondo alifunguliwa kesi na moja ya kosa ni kuleta taharuki katika jamii

Ila naona vijana wa lumu... mnatuandaa kisaikolojia kwa nyuzi zenu mnazoanzisha
 
Kwa vile kila mtu yuko entittled kutoa mawazo yake acha na mimi nitoe yangu, MODS MODS MODS mjifunze kuvumilia mawazo tofauti na mpungeze kuunganisha nyuzi.
Watoto kila siku wanapotea,watu wazima wanapotea, wengine wanatekwa mara Nondo mara Roma.
Tuseme Mo akaamua kutumia nafasi yake kwenye jamii na kuamua kuaddress tatizo kwa njia ambayo wengi hatukutegemea, yaani akastage utekaji na kila kitu, na hili kulifanya tukio likaribiane na ukweli basi ikabidi hata familia yake hasiishirikishe ili kuongeza awareness kuhusu matukio ya utekaji yanayoshika kasi kwenye jamii.
Wakuu naomba ije kuwa hivi ili Mo arudi akiwa salama bila kuumia hata kucha.

Mimi nitarejea Kuchangia vizuri hapa kama nikionyeshwa tu hao Wazungu ni wa kutoka Ulaya na Marekani au ni Wazungu wetu wa Tandale na kwa Mnyamani.
 
Ndo yale ya masoud kipanya kumbe alikuwa msikitin anavuta nyuradi.
 
Mambosasa na Makonda ndio watakuwa wale wazungu ili utani unoge na ueleweke..Siro atakuwa dereva wa ubber,. JPM mlinzi wa hotel
 
Hebu naombeni mnijuze wandugu aliyewaona wazungu waliomteka MO ni nani? Yupo wapi mpaka sasa na amesaidiaje upelelezi ili kumpata MO? msiunganishe uzi tupate mawazo tofauti nyie @moderators
 
Hebu naombeni mnijuze wandugu aliyewaona wazungu waliomteka MO ni nani? Yupo wapi mpaka sasa na amesaidiaje upelelezi ili kumpata MO? msiunganishe uzi tupate mawazo tofauti nyie @moderators
Aliyesema ndo anajua alijuaje ni wazungu
 
Zao la korosho na Mazao mengi kimsingi yanahujumiwa na wahindi wakiongozwa na Mo! Mo ananunua kwa bei ndogo na kuuza kwa bei kubwa! Mkono wa serikali ukiingia masoko anayatawanya! Most wa matajiri bongo n wahuni na wanatupiga kwa ujinga Wetu!

Kuhusu sukari sisi tuna viwanda vya ndani; na lengo n watu wetu wapate ajira kwa viwanda vya ndani yeye analeta sukari guru ya viwanda vyake na anaiingiza sokoni kimagendo!

Asante; lazma nchi iendelee kwa watu kuwa wazalendo siyo wahuni! (2015-2025)! Bora kumpoteza mmoja ili mambo yaji set!

Najua mada hii ngumu kwa baadhi ya watu but kwa wenzangu wa kuangalia mambo nje ya box wamenielewa ( inside)
 
Back
Top Bottom