Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Tutaendelea kumtafuta MO na kuhakikisha watanzania wanapata majibu sahihi na majibu sahihi ni kwamba MO AMEPATIKANA NA WATEKAJI WAKE WAMEKAMATWA.

Tusipende ku twist maneno ili kufurahisha watu.
Ndio maana umeambiwa tujadili kauli tata kuna wengine tulielewa tayari MO kapatikana.
 
Kwa wapumbavu kama huyu October man kuzidi kuongezeka JF, sijui wanapitia milango gani hiyo wasikoweza kuhojiwa kama wana akili timamu kabla ya kufunguliwa.
 
Nchi imekuwa chaka la wahuni mkuu
 
Tutaendelea kumtafuta MO na kuhakikisha watanzania wanapata majibu sahihi na majibu sahihi ni kwamba MO AMEPATIKANA NA WATEKAJI WAKE WAMEKAMATWA.

Tusipende ku twist maneno ili kufurahisha watu.
Mimi ndio nilielewa hivi kwa kweli lakini sishangai kama watu wananukuu mstari mmoja kwenye vitabu vya dini itakuwa kauli ya mtu.
 
Unajua maana ya kuvalia kininja. Umewahi kuwaona Ninjas? Hata kwenye picha tu
 
Watu wanapotea raisi Yuko kimya...!!

Yaaani zitto namkibali Sana kwa kauri zake kadhaa,

Mfano ,ibara flani itumike , tumekabidhi inchi sijui kwa watu gani vile ??
 
Ndugu yako huyu huku anapewa kibano na Wahindi wewe unampigania Muhindi? Ni lazima utakuwa mgonjwa wa akili au labda umekulia uhindini umelelewa huko?


Barbarosa,
Kama mie mgonjwa wa akili we utakuwa zezeta au teja!
Mtu kama wewe unatakiwa uwe mahabusu ili uisaidie polisi kwa kuonesha ubaguzi wa RANGI KWA MTANZANIA MWENZETU MWENYE ASILI YA INDIA!
Remember this it'll help you:
Mohamed Dewji(MO)ni Mtanzania mwenye asili ya Kihindi aliyezaliwa Singida 1975.Kwa taarifa yako Mo amewahi kuwa MBUNGE wa SINGIDA MJINI kupitia CCM for 10 years (2005-2015). Wakti wa Baba Nyerere tumewahi kuwa na Mawaziri Watz wenye asili ya India kama AMIR JAMAL(Finance)na wengineo!
Unachoonesha wewe ni chuki na wivu kwa Mo kwa vile ni tajiri mwenye ukwasi wa kutisha!!
 


Wewe bado uko bondage umefungwa minyotoro ya utumwa na ndo maana unatetea Muhindi ambaye hakuthamini na anakuona kama takataka tu, hakuna Muhindi anakujali wewe, Dewji ni Muhindi na atabakia kuwa Muhindi na haijalishi amezaliwa wapi na wewe kwake ni binadamu daraja la pili hata ufanye nini.

Labda nikuulize unajua kwamba India kuna Waaafrika weusi kama wewe na mimi wanaishi misituni hata uraia wamenyimwa?

Jielimishe kuhusu Wabantu wajulikanao kama siddi huko India wanabaguliwa kama takataka tu hakuna anayeweza kuiwaita Indians mpaka leo hii!

 
Hatujamsahau yaani mi nalogin mitandao kuliko muda wowote japo nione habari njema ila hola binafsi sijawahi muona physically ila kaniumiza sana sana utadhani ndugu wa karibu .kweli dunia ni katiri sometimes
Me kila siku nakunywa mo energy kumuenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…