Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

move yao nadhani imeshakamilika....na wale ambao watakuwa na matumaini kuwa Mo atazungumzia yaliyomtokea, watapata tabu sana....watasubiri sana mpaka mitume warudi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mo waliokuwa wamemkamata ni wahuni tu hawana connection na serikali wala
 
Maana makonda aliinglia kati suala la kupotea na muda mchache huu wanadai kapatikana kunalo jambo lipo nyuma ya pazia.
Halafu wanasema kapatikana mbona hawaelezei kwa undan? Kapatikana vipi ilikuaje atekwe.. Kuna picha nimeona WhatsApp inasemekana ya mtekaji mmoja wapo jamaa Ana sura ya kihalifu kabisa
 
Hahahaaa weee jamaa ndo kituko kweli,yaani Jeshi la polisi unalituma kumkamata Makonda,are you serious????
Ubongo wako unafikiria vizuri kabisaaa???
 
Amepatikana muda mchache uliopita

Millard Ayo Updates
Ndio maana naamini jaribio la kumuua Lisu lilikuwa na mkono wa serikali. Kama sivyo Polisi wangeweza kukamata wahusika haraka sana. Hili la Mo inaonekana serikali haikuhusika.
 
Polisi imkamate huyu Bashite ahojiwe, sijui Polisi inataka raia tuwasaidie vipi?
Akamatwe kafanya nni?
Hujui kwamba huyo ndiye mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wa mkoa...polisi wa mkoa wako chini yake?

Hujui kwamba ana mamlaka ya kuzungumzia mambo yote ya usalama mkoa wa Dar..

We ulitaka nani azungumzie hili? Mme wako au mjomba wako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…