Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Awamu hii hakuna kubembelezana boss..

But inawezekana pia aliitwa na bado akagoma. Rumours zilianza eti korosho zimeanguka soko la dunia..

Hii ni baada ya Indians kujua Veitnam wanamzigo wa kutosha wa Korosho so wanaweza wasije kununua mwaka huu..

Picha bado linaendelea..
 
Bilionea unashindwa hata kuweka gym nyumbani kwako unaanza kukurupuka saa 11 kwenda kunukishana majasho na wenzio?!

Huwezi kuwa na mapesa yako mengi namna hiyo halafu ukose hata mlinzi mmoja mwenye silaha...Watanzania tuache kuishi kwa mazoea jamani
Sasa mkuu akiweka gym nyumbani huoni kama yule anae miliki gym atakosa wateja na matokeo yake pesa itakosekana katika mznguko mwisho mwnyw utaanza kusema maisha magumu.
 
Nakuelewa Sana.. Nilihisi inawezekana nikuhusiana Na udalali wake. Nikahisi kazinguana Na wafanyabiashara wenzie huko. Kama ni sababu ya kutikisa soko LA korosho basi kazi ikoo
 
Dah tunaletewa movie nyingine
.sijui itakuwa na part 2?
.sijui itachezwa kwa ustadi au itafanana na zile nyingine?
.sijui inataka kumpa kiki nani ?

Wakati utasema...stay tuned....!!!!
Utasikia "atapatikana kesho kabla ya swala ya ijumaa"???? kama roma Mkatoliki???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…