Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Wamkabidhi hiyo kazi kamanda Moroto ili awalete wahusika kwenye media " aroo kwa nini umemteka Mo-Dewji, wewe mzungu kwa nini umetoka ulaya kuja kuteka watu"
aroo ona ulivyo mrefu na kitambi wewe mzungu,kwanini usiendelee kutuibia madini kama mlivyozoea? arooo wewe mzungu #KIKI_KWA_PIKIPIKI
 
Walijua wote wanaohusika na usalama wa watu na mali zao wanapamabana katika chaguzi ndogo, kuunga mkono rais na kupambana na viongozi wa vyama vya upinzani.
 
Mo anachangia pato letu LA taifa pakubwa Sana mkuu. Lazima wahakikishe anapatikana Kwa hali yoyote ile

Kwa hiyo Mo Dewji kiuchumi ni muhimu kuliko airport yetu moja ya kuingia na kutoka nchini?

Na siku Mo akistaafu uchumi wa nchi utayumba?

Jeff Bezos unamjua?

Marekani hawawezi kufunga JFK airport kwa sababu eti Jeff Bezos katekwa.
 

Hii nchi tunaweza kuongeza mapato ya utalii kwa kutangaza vituko tunavyofanyiwa na ccm. Ni vivutio tosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…