Absolutely YES[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Hao watekaji mhhhh umejuaje wametumwa na walishajiandaa had kuharibu mfumo wa CCTV. Mtu mdogo wahivi hivi hawezi kumteka Mo kuna mkono mkubwa hapo
Nachomoka banah naangalia uzembe wao upo wapi huwa nao wanapoteza focus maana wanakua wanahofu kubwa kwa tukio wanalolifanya sasa uzembe wao mimi kwangu ni fursaLabda awe mtekaji mmoja lkn kuanzia wawili na wana miguu ya kuku...huchomoki
Yes, mwanangu alianza daraza la saba na miaka 5 na miezi michache sana. Alimaliza darasa la Saba na miaka 12 kasoro. Form One aliingia na miaka 12, miaka 13 form two na three kidogo, miaka 13 form tree na form four kidogo, akamaliza na miaka 14. Form five miaka 14 na 15 ikamkutia hapo, akamaliza form Six na miaka 16 kasoro. Inategemea na jinsi ulivyomwahisha mtoto shule na jinsi Mungu alivyomjalia mtoto. Kwa misingi hii mwanangu huyu alinza kupenda kuandika akiwa mdogo mno alipoona wenzake wanaenda na kutoka shule wakiwa wanafanya home work naye anakaa mezani anaanza kuandika yake, mwishowe akawa anachukua kitabu anaigiliza moja nyingi sana, number 4, 6 na 9. Nikaona bora awahi tu huko day care. Kule akafanye vizuri na pre unit alisoma kidogo sana shule yake wakanishauri aanze darasa la kwanza na ni mvulana. Nilipinga sana ila mwalimu alisema akiendelea kusoma pre unit ataone kila kitu ni rahisi na haikuwa sababu na ataona kama ni marudio yaani kwa kifupi angekinai. Kweli nikakubali akaanza darasa la kwanza kishingo upande. Sijutii kwa kuwa aliendelea kufanya vizuri na yuko mbali mno kiuwezo kitaaluma kuliko hata ndugu zake nilioanzisha wakiwa na miaka 6 na 7 kasoro.Alianza drs la kwanza akiwa na miaka 5 It is possible!
Naaam exactlyTulikuwa likizo sasa tumerudi
Kweli kabisa sauti zetu tunazipaza mno, hili la Mo lina kitu kizito. Sasa hivi wafanyabiashara watakimbia wote maana ni hatariLeo tutapaza sauti ndani na nje ya nchi mpaka baada ya masaa 24 tutampata MO
Naaam exactlyTulikuwa likizo sasa tumerudi
Shuhuda kaona watu wanne kamanda kamalizia kuwa waliomteka walikuwa wazungu wawiliTulikuwa likizo sasa tumerudi
Ila siku hizi tunaishi kwa wasiwasi nchi hii ka digidigi sasa jiulize Mo katekwa wewe raia wa kawaida jeAbsolutely YES[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Yangu macho director ana makengengezaMa director wa movies wana akili na ni wazoefu kwenye hiyo taaluma. Kama sio fani yako lazima ukosee tu, hizi movie zote inaonekana director ni yule yule, zote mapungufu yanafanana.
Mshana Jr
Vibaka wenye tu wakikuzunguka hata aja kubwa inakuja sembuse hawa professional killersHa ha ha ha haaaaaaaaa, nacheka utadhai mazuri but real im scared, tuzid kumuomba Mungu atuepushe upepo huu mbaya ndani ya nchi yetu.
Ni ngumu ukitumia nguvu badala ya akili ujue ambush ni mbaya unaweweseka sasa ukileta ujeuri si wanakumaliza on spot au wakupe mateso.Nachomoka banah naangalia uzembe wao upo wapi huwa nao wanapoteza focus maana wanakua wanahofu kubwa kwa tukio wanalolifanya sasa uzembe wao mimi kwangu ni fursa
Mmmmh[emoji15] [emoji15] ...unanyakuliwa kama mwewe weweNachomoka banah naangalia uzembe wao upo wapi huwa nao wanapoteza focus maana wanakua wanahofu kubwa kwa tukio wanalolifanya sasa uzembe wao mimi kwangu ni fursa