Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
Haina maana yoyote zaidi ya kubaki kua ndoto tu.Duh...yani ni juzi tu nimeota huyu jamaa katekwa
Sasa sijui wajuzi wa mambo hii ina maana gani?
Halafu ulikuwa bado hujazaliwa.Nakumbuka tulipata UHURU tarehe 9 December1961.Mjeda mmoja kwa jina NYERENDA akaweka mwenge kileleni mwa mlima Kilimanjaro umulike nchi nzima
Ilikuwa raha saana siku hiyo.
Ha ha ha.Chadema ndiyo wamepata kichaka cha kujificha.
Hutawaona wakiongelea mbunge wao akiuewakimbia Ukerewe
kama walivotuonyesha yule jambazi hendisammboi nahawa wasiojulikana pia watuonyeshe
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Duh afadhali...mana hayo mengine niliyoota hayafai hata kusimulia,yanasikitisha kabisaHaina maana yoyote zaidi ya kubaki kua ndoto tu.
$200k nikaongee na babu vizuri kule lyamba lya mfipa,Mpka manda kerenge nitafikaWatangaze dau zuri haitafika saa 12 atakuwa amepatikana
Hao wanaopiga mpaka wauwe ili wapate maelezo...hiyo haipoInabidi ukalisaidie jeshi la polisi
Laiti Tirakha bhana we nae Kayumbatupo kwenye rait track.....
wazungu haoHiyo keyword "wazungu" ....inasukumwa masikioni mwetu kwa nguvu......why?
Asante sana. Kweli uu mwungwana!Kweli mkuu nilielewa vibaya kumbe anasema watahakikisha MO anapatikana na wahalifu kutiwa mikononi mwao... Basi ni wengi tulikurupuka kusikiliza
We vp mbona uzi upo kumuhusu huyo mbungeChadema ndiyo wamepata kichaka cha kujificha.
Hutawaona wakiongelea mbunge wao akiuewakimbia Ukerewe
Tanzania sisi mazuzu ingekuwa kenya au uganda sasa hvi dunia na imesha hamia kenya au uganda, kimesha nukishwa,
Sema sis sijui nani katuloga
Mijitu ya matukio mmesha ingiza siasa, massive pathetic creatures walahi