Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Nchemba naye siku yake ipo, kabla hajafa atayashuhudia magumu na mazito dhidi yake.
 
CCTV kama zile za dodoma Area D
 
watu wamepotea serikali kimya..hata waarifu wanatake advantage.. Kwamba Tanzania mtu anaweza kupotea tuu...
Serikali Kimya, ni kweli hata wahalifu wa kawaida lkabisa waweza kutumia mwanya huu, serikali haipendwi hii inalazimisha watu waikubali kwa mtutu
 
Tanzania ni hatari sana kwa wawekezaji kama wanatekana wenyewe kwa wenyewe je kwa wageni itakuwaje? Very Shameful Indeed.
 
Wasiojulikana hawawezi kumkamata mtu wao, labda kama kakataa kuwafadhil na kufadhili ile biashara ya manunuzi.

Yaweza kumkuta kama yale ya Mtu wao Zacharia wa Tarime.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ukienda very deep unaweza ukajikuta unavumbua mengi zaidi
Huende system za cctv zilhujumiwa a day before
Hili ni tukio la kupangwa na sio la kukurupuka
Itakuwa alikuwa anafuatiliwa kwa mda mrefu sana
Na jamaa watakuwa wanajua kabisa kuwa Dar itapinduliwa juu chini siku wakifanya yao hivyo watakuwa wamejipanga kisawasawa
Polisi waanze na wahusika wa eneo husika nahisi watapata walau pa kuanzia
Kusiwepo na malipo ya aina yeyote kutoka kwenye akaunti zake kuanzia leo na ikiwezekana wafuatilie kwa umakini zaidi
Ila wao kama Jeshi la polisi watakuwa wako very deep na pengine hawataki kuongelea mipango yao kuhofia kuvuja na kuwafikia watuhumiwa
Tubaki tu kumuomba MUNGU wafanikiwe kumpata akiwa salama
 
Ni hatari kwa kweli
Yaani jamaa kamalizwa ndani ya ubalozi
Najua tuko nje ya mada
Lakini USA hawawezi kumfanya kitu Saudia kwa hela zake.

Well namuombea Mungu Mo apatikane
 
Huyo mtu ni zero brain,ukiendeleze ligi naye utakuwa unajipotezea muda bure!
Kiufupi mie simuelewagi huyu jamaa anajiita mgonjwa mtambuka!
Kuna wanazi wengi sana wa vyama na nawaelewa na kuheshimu misimamo yao ila huyu mmmmmh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…