You see....najua manabii wana uwezo huo wakuona tukio zima kwenye upande wa kiroho wangempata leo leoMimi mwenyewe nawashauri waende kwa nabii tena hapa hapa dar atawaambia yuko wapi
Correction,Mtanzania!
Yupo!Rostam si alishakimbiaga nchi kumbe yupo?
We jamaa hunitakii mema..!!!Hahaha et bikira
We jamaa mchochez sana
Mtanzania mwenye asili ya kihindiWewe ndo unalazimisha hivyo lkn ni Muhindi hata ukimuuliza atakwambia yeye Muhindi!
Mtanzania mwenye asili ya kihindi
Acha kupurukuka kijana mdogo, wachie wanaume wanaume wafanye kazi yao kwa uweledi, ndio Maana jamaa lenu likawita boys walahi!Mheshimiwa Rais kama kweli wazungu wamekuingilia ktk Nchi yako na kumteka na kutowekanae mfanyabiashara MO, basi tumbua Uongozi wowote unaohusika na ulinzi na usalama wa Nchi yetu.
Wanakujaribu Muheshimiwa hawajui hujaribiwi, hawakujui vizuri, wanakubeep ni vizuri ukawapigia, huku ni kukudhalilisha wewe na Nchi yako.
Wazungu wawili na majeshi yote tuliyonayo!? Haiwezekana, kuna watu hawawajibiki au wanawajibika kukuchafulia ktk utendaji wako. Onyesha hasira zako sasa Mheshimiwa ili iwe fundisho kwa wengine.
Wale wote wasiowajibika ktk nafasi zao za kazi kama ipasavyo fweeeekeleambali.
HaaahaaaMuhindi ndo role model wako?
[emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haaahaaaWewe ndo unalazimisha hivyo lkn ni Muhindi hata ukimuuliza atakwambia yeye Muhindi!
[emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haaahaaa
Wanasemaga ni watanzania bana
Sasa hao wazungu washughulikiwe kweli wanataka kuhujumu uchumi wetu
Kweli mkuu...na ni wabaguzi kinomaWakiwahitaji watasema ni Watanzania, lkn moyoni ni Wahindi 100%, rafiki zao ni Wahindi, wazazi wao ni wahindi, wake/girlfriends zao ni Wahindi, chakula, lugha na hata cocobeach ukienda wana sehemu yao Wahindi watupu!
Wahindi hadi kwao India wanabaguana, ubaguzi upo damuniKweli mkuu...na ni wabaguzi kinoma
Hapa unasema ukweli mtupu[emoji122] [emoji122] [emoji122]
Watu wenyewe wanatajwa walikuwa wamevalia kininja, Mambosasa anasema ni wazungu, hapo inamanisha watekaji ni weupe kwa sura plus hizo maski walizovalia inanipa picha kuamini hawa ni Al-shabaab.Kwa nini mkuu wa.mkoa anaconclude kuwa ni wageni ? Tanzania haina wazungu?kwenye matukio kama haya ni bora kuwa general hapo si ajabu kwa usemi vyombo habari vikawa busy na na wageni tu kumbe njemba ni za humu hafu ni bora kujiridhisha na sura maana wabongo wengi kila ngozi angavu ni mzungu. Ila pia taarifa mjue nao wanaweza kuzifuatilia ukisema unafunga mipaka si mnawapa plan B? Tunamuombea Mo wetu