Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Dah So sad! ni vyema juhudi za kumtafuta zisijali giza(ziendelee usiku kucha) ili watekaji wake waishii kwa wasiwasi.
 
Mheshimiwa Rais kama kweli wazungu wamekuingilia ktk Nchi yako na kumteka na kutowekanae mfanyabiashara MO, basi tumbua Uongozi wowote unaohusika na ulinzi na usalama wa Nchi yetu.
Wanakujaribu Muheshimiwa hawajui hujaribiwi, hawakujui vizuri, wanakubeep ni vizuri ukawapigia, huku ni kukudhalilisha wewe na Nchi yako.
Wazungu wawili na majeshi yote tuliyonayo!? Haiwezekana, kuna watu hawawajibiki au wanawajibika kukuchafulia ktk utendaji wako. Onyesha hasira zako sasa Mheshimiwa ili iwe fundisho kwa wengine.
Wale wote wasiowajibika ktk nafasi zao za kazi kama ipasavyo fweeeekeleambali.
Acha kupurukuka kijana mdogo, wachie wanaume wanaume wafanye kazi yao kwa uweledi, ndio Maana jamaa lenu likawita boys walahi!
Angalia news kuna watu wawili maarufu kuliko mo wametekwe, sasa sijui SAUDIA, Turky, China nako pia ni kwa JPM?
Jiongeze kidogo walahi
 
anyway....ni tukio kubwa sana......but tusisahau kuna watoto wanatekwa kila kukicha........ila anaweza kuwa kafichwa hapahapa mjini.....ila vyombo vyetu bana......story nyingiiii.......wajitahidi kuhakikisha kapatikana ............
 
[emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haaahaaa

Wanasemaga ni watanzania bana


Wakiwahitaji watasema ni Watanzania, lkn moyoni ni Wahindi 100%, rafiki zao ni Wahindi, wazazi wao ni wahindi, wake/girlfriends zao ni Wahindi, chakula, lugha na hata cocobeach ukienda wana sehemu yao Wahindi watupu!
 
Wakiwahitaji watasema ni Watanzania, lkn moyoni ni Wahindi 100%, rafiki zao ni Wahindi, wazazi wao ni wahindi, wake/girlfriends zao ni Wahindi, chakula, lugha na hata cocobeach ukienda wana sehemu yao Wahindi watupu!
Kweli mkuu...na ni wabaguzi kinoma

Hapa unasema ukweli mtupu[emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Kuna haja sasa ya watu wazito kuvaa chip mwilini inayoonyesha cordinates yupo wapi na ikiwezekana ipige picha na kuzituma. Hii inasaisia pa kuanzia uchunguzi.
 
Kwa nini mkuu wa.mkoa anaconclude kuwa ni wageni ? Tanzania haina wazungu?kwenye matukio kama haya ni bora kuwa general hapo si ajabu kwa usemi vyombo habari vikawa busy na na wageni tu kumbe njemba ni za humu hafu ni bora kujiridhisha na sura maana wabongo wengi kila ngozi angavu ni mzungu. Ila pia taarifa mjue nao wanaweza kuzifuatilia ukisema unafunga mipaka si mnawapa plan B? Tunamuombea Mo wetu
Watu wenyewe wanatajwa walikuwa wamevalia kininja, Mambosasa anasema ni wazungu, hapo inamanisha watekaji ni weupe kwa sura plus hizo maski walizovalia inanipa picha kuamini hawa ni Al-shabaab.
 
Back
Top Bottom