Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Msiwaamini hawa ccm, waliahidi watu wanaohishi km wako peponi watahishi kama mashetani na mpango wenyewe wa kiishi km mashetani ndo huu
 
Dah tunaletewa movie nyingine
.sijui itakuwa na part 2?
.sijui itachezwa kwa ustadi au itafanana na zile nyingine?
.sijui inataka kumpa kiki nani ?

Wakati utasema...stay tuned....!!!!
Mnatolewa lelini
 
Issue km hizi ni kutulia kwanza, Bashite yupo mstari wa mbele kabisa kusaka watekaji.
Tuwe wavumilivu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…