Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Zakariya alivamiwa na watu wasiojulikana akawapiga risasi mwisho tukaambiwa walikua askari, Zakaria sasa tunasikia yuko ndani na anarudisha mali yote aliyo nunua serikalini. Mo pia ni katika wafanyabiashara walio nunua viwanda vya serikali kwa bei poa kabisa. Tusije kusikia na yeye anarudisha mali ya serikali.
Msiwaamini hawa ccm, waliahidi watu wanaohishi km wako peponi watahishi kama mashetani na mpango wenyewe wa kiishi km mashetani ndo huu
 
Dah tunaletewa movie nyingine
.sijui itakuwa na part 2?
.sijui itachezwa kwa ustadi au itafanana na zile nyingine?
.sijui inataka kumpa kiki nani ?

Wakati utasema...stay tuned....!!!!
Mnatolewa lelini
 
Issue km hizi ni kutulia kwanza, Bashite yupo mstari wa mbele kabisa kusaka watekaji.
Tuwe wavumilivu
 
Back
Top Bottom