Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ingiza hizi token za vocha ya 10000Sawa mtiifu bilionea
Msiwaamini hawa ccm, waliahidi watu wanaohishi km wako peponi watahishi kama mashetani na mpango wenyewe wa kiishi km mashetani ndo huuZakariya alivamiwa na watu wasiojulikana akawapiga risasi mwisho tukaambiwa walikua askari, Zakaria sasa tunasikia yuko ndani na anarudisha mali yote aliyo nunua serikalini. Mo pia ni katika wafanyabiashara walio nunua viwanda vya serikali kwa bei poa kabisa. Tusije kusikia na yeye anarudisha mali ya serikali.
Hapana naomba nieleweshe.Wewe ndugu unaelewa maana yakutekwa?
Ha ha haaaa....kesho watakuta nguo alizovaa tuGiza limeingia uchunguzi utaendelea kesho.
You are extraordinary person, maisha ya furaha Pasi na kuwa na ela?? Lol u r purely an extraordinary personDon't desire to be rich or fomous in your life..just desire to be happy
Mnatolewa leliniDah tunaletewa movie nyingine
.sijui itakuwa na part 2?
.sijui itachezwa kwa ustadi au itafanana na zile nyingine?
.sijui inataka kumpa kiki nani ?
Wakati utasema...stay tuned....!!!!
Mm vibaya ivyo kamandaHa ha haaaa....kesho watakuta nguo alizovaa tu
You are extraordinary person, maisha ya furaha Paso na kuwa na ela?? Lol u r purely an extraordinary personDon't desire to be rich or fomous in your life..just desire to be happy
Duh!Uchunguzi utaendelea kweli na giza hili?
Sijasema sitaki kuwa na pesa... I don't want to be rich or famousYou are extraordinary person, maisha ya furaha Paso na kuwa na ela?? Lol u r purely an extraordinary person
Nakuunga mkono, kama Mo dewji angekuwa na bastola akawajeruhi watekaji wake, may be yangekuwa kama ya Zacharia kupata tuhuma za kujerui watu was usalama, overrr...Ikiwa walinda raia ndio wapotezaji unatarajia nini
Mgwebe.. Kuna rich hasokuwa na chapaa?? I.e. destitute?? Jibu no hakunagaSijasema sitaki kuwa na pesa... I don't want to be rich or famous