Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Well said budy! Many among us still have inferiority complex.
 
jeshi la polisi linahitaji maombi haki kazi nyingine ni kubwa kuliko uwezo wao. Au lingefanyika Mwanza angekuta amepatikana? ila hili jiji lina mbwembwe hatari namuombea MO apatikane ila lakini binadamu hatuko fair kabisa yaani wengine sio kutekwa walifanyiwa jaribio la kuuwawa yaani hata ufuatiliaji kama huu sikuona hizi nafsi zilizojaa unaafki hivi sijui kama tutamwona Mungu kwa staili hii. Mungu tusamehe na tusaidie
 
Anatakiwa aweke security ya hali ya juu ya ex servicemen / Walinzi wastaafu wa Sponsor
 
Kifaa cha ki electronic kinachowekwa ktk mwili wa mwanadamu ama mnyama kinachosaidia Ku program matumizi vifaa kama ATM,kuwasha gari, track GPS location, monitor watoto wa shule nk. Binafsi Nina Amini kwa Mungu na science. Endapo MO anakifaa hicho mwilini mwake, anaweza patikana kwa urahisi zaidi.
 
Hahaha kuwa serious basi. Eti Mo ana nini?! Mo ana pesa wewe una shilingi. Hata kodi mnayolipa serikalini kakupiga gap la maana tu. Ukweli mchungu lakini ndo dunia ilivyo We must accept it maana hakuna namna.
 
Well said!
 
Police wanashinda Instagram kuwakamata wanaocheza wimbo wa maua sama iokote shenzy kabisa
 
Hahaha kuwa serious basi. Eti Mo ana nini?! Mo ana pesa wewe una shilingi. Hata kodi mnayolipa serikalini kakupiga gap la maana tu. Ukweli mchungu lakini ndo dunia ilivyo We must accept it maana hakuna namna.
Double Standards
 
Lengo la kupakazia wazungu ni kuzuia wasiingilie masuala haya coz nao wanatuhumiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…