Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Kwa nini Mo Dewji ndio waje FBI, yeye ana nini, nafsi tano?

Binadamu wengine wakitekwa, wakipigwa risasi bungeni, mbona nchi haisimami?

Hata FBI hawatakubali, unless kuwe na suspected political motives. FBI watawacheka mkiwaita kumtafuta raia mmoja katekwa!

Alitekwa tajiri Mwanza akakutwa kwenye gunia, mbona airport hazikufungwa, kwa vile Mkurya mwenzetu? Mpaka awe tajiri wa kihindi?

Ridiculous self-loathing Africans.
Well said budy! Many among us still have inferiority complex.
 
jeshi la polisi linahitaji maombi haki kazi nyingine ni kubwa kuliko uwezo wao. Au lingefanyika Mwanza angekuta amepatikana? ila hili jiji lina mbwembwe hatari namuombea MO apatikane ila lakini binadamu hatuko fair kabisa yaani wengine sio kutekwa walifanyiwa jaribio la kuuwawa yaani hata ufuatiliaji kama huu sikuona hizi nafsi zilizojaa unaafki hivi sijui kama tutamwona Mungu kwa staili hii. Mungu tusamehe na tusaidie
 
Anatakiwa aweke security ya hali ya juu ya ex servicemen / Walinzi wastaafu wa Sponsor
 
Kifaa cha ki electronic kinachowekwa ktk mwili wa mwanadamu ama mnyama kinachosaidia Ku program matumizi vifaa kama ATM,kuwasha gari, track GPS location, monitor watoto wa shule nk. Binafsi Nina Amini kwa Mungu na science. Endapo MO anakifaa hicho mwilini mwake, anaweza patikana kwa urahisi zaidi.
 
Kwa nini Mo Dewji ndio waje FBI, yeye ana nini, nafsi tano?

Mbona nchi haisimami watu wengine wakitekwa, wakipigwa risasi bungeni, tena viongozi wa umma?

Hata FBI hawatakubali, unless kuwe na suspected political motives. FBI watawacheka mkiwaita kumtafuta raia mmoja katekwa!

Last year alitekwa tajiri Mwanza akakutwa kwenye gunia kafa, mbona airport hazikufungwa, kwa vile Mkurya mwenzetu? Mpaka awe tajiri wa kihindi?

Ridiculous self-loathing Africans.
Hahaha kuwa serious basi. Eti Mo ana nini?! Mo ana pesa wewe una shilingi. Hata kodi mnayolipa serikalini kakupiga gap la maana tu. Ukweli mchungu lakini ndo dunia ilivyo We must accept it maana hakuna namna.
 
jeshi la polisi linahitaji maombi haki kazi nyingine ni kubwa kuliko uwezo wao. Au lingefanyika Mwanza angekuta amepatikana? ila hili jiji lina mbwembwe hatari namuombea MO apatikane ila lakini binadamu hatuko fair kabisa yaani wengine sio kutekwa walifanyiwa jaribio la kuuwawa yaani hata ufuatiliaji kama huu sikuona hizi nafsi zilizojaa unaafki hivi sijui kama tutamwona Mungu kwa staili hii. Mungu tusamehe na tusaidie
Well said!
 
Police wanashinda Instagram kuwakamata wanaocheza wimbo wa maua sama iokote shenzy kabisa
 
Hahaha kuwa serious basi. Eti Mo ana nini?! Mo ana pesa wewe una shilingi. Hata kodi mnayolipa serikalini kakupiga gap la maana tu. Ukweli mchungu lakini ndo dunia ilivyo We must accept it maana hakuna namna.
Double Standards
 
Mbona mashuhuda kila mmoja anasema lake, Mara dereva wa Uber aseme watekaji walikuwa wamefunika nyuso zao hakusema walikuwa in wazungu, mara wengine waseme ni wazungu - tuamini lipi tuache lipi!

Ninavyo wafahamu wazungu hawana hulka za kuingia nchi za watu na kuteka nyara RAIA mchana kweupe, hata kama wanamdai au wana issues naye Mara nyingi watakwenda kwenda vyombo vya Dola au Mahakama kudai haki zao na sikuteka watu - my opinion.
Lengo la kupakazia wazungu ni kuzuia wasiingilie masuala haya coz nao wanatuhumiwa.
 
Back
Top Bottom