ypointer4
JF-Expert Member
- Feb 17, 2010
- 633
- 522
Well said budy! Many among us still have inferiority complex.Kwa nini Mo Dewji ndio waje FBI, yeye ana nini, nafsi tano?
Binadamu wengine wakitekwa, wakipigwa risasi bungeni, mbona nchi haisimami?
Hata FBI hawatakubali, unless kuwe na suspected political motives. FBI watawacheka mkiwaita kumtafuta raia mmoja katekwa!
Alitekwa tajiri Mwanza akakutwa kwenye gunia, mbona airport hazikufungwa, kwa vile Mkurya mwenzetu? Mpaka awe tajiri wa kihindi?
Ridiculous self-loathing Africans.