Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Waliyomteka ni raia wa kigeni ni wazungu wawili,wamemteka wakati akitoka mazoezini majira ya saa 11 asubuhi.

ITV Breaking News
 
Duh!Watu wasioujulikana hao bila shaka!

Hii nchi sasa!!

Walitekwa na kupotea watu wa kawaida, tukaona ni mambo madogo.Leo wanatekwa matajjri na watu maarufu labda sasa ndio tutashituka.

Nakumbuka pia yaliompata Lissu.

Wacha tusubiri tuone nini kinaendelea tutapata picha kamili.

Kwa sasa wanaweza kuwa wanapima upepo.Pressure ikiwa kubwa,wanaweza kumwachia ikiwa mpaka sasa bado yuko salama.
Mara hii Mambosasa kishajua eti ni wazungu ! aiseeee !!!
 
Baada ya kumalizana na mfanya biashara wa yanga Yusufu Manji sasa wamegeukia kwa mfanya biashara ya Simba Deuji.
 
Bila shaka hii ni movie ingine tu na kama ilivyo watakosea timing na itajulikana tu ni swala la muda maana wameona hakuna uzinduzi, hakuna kukata utepe watu wamezoea kusikia nani kajiunga na chama kingine kajivua uanachama
 
Watu mnahusisha sana kutekwa na siasa, sas huyu mo mbona hajihusishi na siasa ,msifananishe na kina roma au lisu
 
Bilionea unashindwa hata kuweka gym nyumbani kwako unaanza kukurupuka saa 11 kwenda kunukishana majasho na wenzio?!

Huwezi kuwa na mapesa yako mengi namna hiyo halafu ukose hata mlinzi mmoja mwenye silaha...Watanzania tuache kuishi kwa mazoea jamani
Nadhani una umri mdogo wewe. Ukiongezeka umri baada ya kuishi miaka kadhaa, utajua maana ya kuishi na watu. Kama utasema kila kitu unacho au unaweza kukifanya nyumbani kwako, utaiona dunia si mahala pazuri kuishi. Hivi watu wanakwenda kuangalia mipira kwenye mikusanyiko ya watu, nyumbani kwao hawana TV? Huwezi kuishi pekee yako kama uko kisiwani hata kama una pesa nyingi.
 
Kwahyo yawezekana mdeni kamteka... Sasa akimteka ndio atakua kalipa deni? Aturudishie Mo wetu simba ishachanua sababu yake
Wana Simba someni Alibadiri haraka mda huu huu msichelewe ili wasiojulikana waumbuke haraka
 
Alianza zakaria hatukuambiwa kwanini ilitokea vile.haya mo tena julizeni watekaji wanataka nini na nani.wanateka ili iweje
 
Back
Top Bottom