Paul Alex
JF-Expert Member
- Jul 14, 2012
- 4,351
- 9,838
MO amepatikana
Sisi ndio Masters wa movie hapa bongo!
HATUPOI HATUBOI🎃🎃
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MO amepatikana
Eeeh. Walinzi wa hotel walikula konaKumbe walinzi walikimbia?
Acha kuumiza bichwa lako jua kua mtengenezaji wa hii movie hajawahi kufanikiwa jamboNimemsikiliza Kamanda Mambosasa anadai kuwa ametekwa na Wageni kwa vile ni wazungu!! ........... Hivi kwani hakuna Wazungu watanzania!!?
Anyway, kama walikuwa wameficha usoni hivi kweli kwa tukio la haraka kama utekaji utawatofautishaje wazungu, wahindi au waarabu!!
Bashite anatengeneza filamuNi nini hiki? ...kwahiyo hajapatikana?
Bado hajapatikana
Ukiwa na Gym home huwezi kutekwa?Pole yake. But alipaswa kuwa na gym home.
Hayo ya kusema kapatikana tuyapuuze nadhani mpaka pale watakapokuja Na wahalifu kwenye media Na watueleze nia yao ilikua nini.Habari picha imesema hayo.. Sijui ni uongo au bdo?View attachment 894204
Moderator update taarifa iliyotolewa na mambosasa kuwa amepatikanaKuna hizi habari kwamba Mfanyabiashara Mohamed Dewji ametekwa leo asubuhi maeneo ya Collosium Gym , Oysterbay alipokuwa ameenda kufanya mazoezi..
Mwenye habari kamili atujuze.
======
UPDATES:
Mfanyabiashara maarufu nchini, ambaye pia ni mwekezaji wa Klabu ya Simba, Mohammed Dewji (Mo Dewji), anadaiwa kutekwa na watu wasiojulikana waliokuwa na silaha za moto, saa 11 alfajiri wakati akiingia kufanya mazoezi katika gym ya Colosseum, Oysterbay jijini Dar leo Oktoba 11. Kamanda wa Polisi Kinondoni, Jumanne Muliro athibitisha.
RPC Lazaro Mambosasa amesema Polisi Dar inafuatilia madai ya kutekwa kwa mfanyabiashara huyo maarufu nchini
UPDATE 1:
Dereva wa Uber amesema aliona watu 4 wakishuka kwenye gari dogo, wakiwa wamejifunika usoni, wakapiga risasi moja juu na kumchukua Mohammed Dewji
UPDATE 2:
RPC Lazaro Mambosasa amesema waliomteka mfanyabiashara Mohamed Dewji (Mo) ni wazungu wawili. Aidha, amesema msako mkubwa unafanywa kwa raia wa kigeni wote waliopo nchini kufuatia kutekwa kwa Mo Dewji
UPDATE 3:
RPC Lazaro Mambosasa amesema watu watatu wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa mahojiano kuhusu kutekwa kwa mfanyabiashara Mo Dewji
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Bashite anatengeneza filamu
Kumbe hajapatikana .mungu wangu muindi wa watu roho inaniumaEeeh. Walinzi wa hotel walikula kona
Hajapatikana mkuukwa hiyo ndio kashapatikana au sio 😎
U see its my faithful nilijua hilo....mimi huwa sipendi kupanik katika matukio yoyote makubwa huwa najipa matumaini ila yakipita masaa 24 hapo lazima niwe na wasiwasi na ndiyo nitaanza kuumia moyo,nakumbuka msiba wa mshua naletewa taarifa sikuamini baada ya muda kama masaa matatu nasikia kwenye vyombo vya habari sijakaa sawa naona watu wanakuja shule naitwa ba mwalimu mkuu dah hapo muda huo nilianza kupaniki[emoji17]Yeah ulisema nakumbuka
Hawataathirika sana maana DAB nae ameseme huwa anafanya mazoezi hapo pia [emoji23]Wajiandae kisaikoloji kwenye hili Colloseum.. Huwezi ukaweka mlinzi anaekimbia silaha sehemu wanayoenda wafanyabiasha Na watu wenye hela.
hajapatikana, lkn hisia zangu zinamhisi Bashite...anisamehe kama ninakoseaKwa jinsi alivyopatikana fasta...
Naji-convince itakua ishu ilisukwa na Bash.ite kujenga kiki watu wasikomalie sana mwendokasi!
Hao suspects zijui kama watatuonesha....!
Sanaa mtindo mmoja!
Only in awamu ya 5 ndio utapata habari hizi na nyingine za kijinga kama kuvamia vituo vya TV!