Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

taarifa kutoka kwa RC Makonda

Haya mambo yautekaji Bashite anayafahamu sana; mnakumbuka alipotekwa Roma Mkatoliki ni yeye aliyetoa taarifa kuwa angepatikana ijumaa na kweli akapatikana!!

Leo tena ndiye aliyetualifu kuwa Mohamed Dewji amepatikana na watekaji wake wakiwa ni watu kutoka nje ya nchi wametiwa mbaroni.!!
 
Habari nzito kama hii,abgekuwa nani ndo ingekuwa nyepesi?

Zakaria taarifa yake ilitolewa na polisi?

Ya Roma mkatoliki ilitolewa na Polisi?

Ya Masoud kipanya ilitolewa na Polisi?

Ya Ben saa nane ilitolewa na polisi?
Ya Tundu Lissu ilitolewa na polisi?

Ya Hussein Bashe na Msukuma Dodoma ilitolewa na Polisi???

Nguvu ya social networks ni kubwa sana,kama kila habari ingesubiriwa kutolewa na polisi,hasa habari kama hizi,basi yote hayo hapo juu,kamwe tusingeweza kuyajua!!!
JF ipo juu ni zaidi ya FBI hata Scotland yard wapo JF hao Polisi wenyewe wanaipenda JF kwani huwasaidia mengi ikiwemo kujua mapungufu yao
 
Nasikia Bashite amekanusha kama Mo amepatikana tena.. Na amewatishia wote wanaoeneza uvumi huo kwamba Mo amepatikana watakiona cha moto..! Mie nimemsikiliza kwenye clip ya video akisema Mo amepatikana na watekaji wamekamatwa.. Sasa hii anayokuja kukanusha na kutishia ni nini..? Kwa nini asijianze na yeye kwanza..? Ndo maana hili tukio toka nilipolisikia, nilipata shaka, kuna kitu hakikuwa sawa, ndo nazidi kuamini kuna kubwa nyuma ya pazia..
 
Write your reply... Hivi Lemutuz ni nani namsikia tu ana deal na nini hasa mpaka ana umaarufu huu
 
Back
Top Bottom