minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
Le mutuz anasema hawezi kupatikana mpaka watimize lengo lao kwanza ingawa Sinema imechezwa vibayaAisee bongo hatari..Mara amepatikana,mara bado..which is which??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Le mutuz anasema hawezi kupatikana mpaka watimize lengo lao kwanza ingawa Sinema imechezwa vibayaAisee bongo hatari..Mara amepatikana,mara bado..which is which??
Ana allergy Na wafanyabiashara. Lakini Kama ni yeye alikua Na sababu gani ya kumteka? Angemletea figisu tu Kama za Manji..
taarifa kutoka kwa RC Makonda
Le mutuz anajua A-Z mpigie atakupa data muhimuHuenda wakopaj hao wamemtek lkn kun mijitu mijinga inadhani serikal
Mikoani ruksa...ila full kukaguliwaKutoka nje ya Tanzania au hata kwenda mikoani ?
Mbona sielewi...kiki? Hebu nifafanulie basi na weeHatutoi Kik Leo..
So ni kitu cha kawaida tu these days?
Ni noma mkuu..Aisee bongo hatari..Mara amepatikana,mara bado..which is which??
Aaah, mara ametekwa na Wazungu wawili, mara tumefunga njia zote wasitoke, yaani tafrani. Walitaka kuigiza tamsilia sasa imekuwa Move lazima iishe.wanasemaje? wengine tuko shambani hatupati taarifa live live
Exactly mkuu...hakuna mzungu hata wa kukubali kufanya huu upupuhahaha mzungu hawezi fanya utoto huo, na kama ni wao ni wahuni tu waliotumwa na wabongo kwa malipo
Mmoja wapo wa wajinga ni yuleee anaedhani watu wanadhani ni serikaliHuenda wakopaj hao wamemtek lkn kun mijitu mijinga inadhani serikal
Na kwelishida yetu huwa tunawashwa washwa
JF ipo juu ni zaidi ya FBI hata Scotland yard wapo JF hao Polisi wenyewe wanaipenda JF kwani huwasaidia mengi ikiwemo kujua mapungufu yaoHabari nzito kama hii,abgekuwa nani ndo ingekuwa nyepesi?
Zakaria taarifa yake ilitolewa na polisi?
Ya Roma mkatoliki ilitolewa na Polisi?
Ya Masoud kipanya ilitolewa na Polisi?
Ya Ben saa nane ilitolewa na polisi?
Ya Tundu Lissu ilitolewa na polisi?
Ya Hussein Bashe na Msukuma Dodoma ilitolewa na Polisi???
Nguvu ya social networks ni kubwa sana,kama kila habari ingesubiriwa kutolewa na polisi,hasa habari kama hizi,basi yote hayo hapo juu,kamwe tusingeweza kuyajua!!!