Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama "magenius" huko TISS wamewahi kuchemsha vichwa inabidi this time "wazichange" kisawasawa. Naiangalia kiuchumi, wawekezaji, jamii ya waasia na taswira inayoenda kukamilishwa vichwani mwa Watanzania. Rais wetu JPM nakuombea Mungu aseme na wewe ili uchukue hatua sahihi na kuokoa taswira ya Taifa letu na kama lengo ni kukuchafua "wachafue" . Tumuombee MO awe salama.
Wewe unaeona mbunge kuhama ni habari kuzidi hii unafanya nn huku?..Chadema ndiyo wamepata kichaka cha kujificha.
Hutawaona wakiongelea mbunge wao akiuewakimbia Ukerewe
Nadhani burning issue leo ingekua mwendo kasi ila ndio ivyo tena
Kwani uzungu upo kwenye sehemu nyeti?hivi unawezaje kumtambua mtu kuwani mzungu wakati kafunika mwili na uso wake?
Huyo nina uhakika hajatekwa, yupo mikono salama, cha muhimu ni kusubiri muda ufike tukutane naye mahakamani, tatizo kuna idara zinakiuka taratibu, TISS kazi yake si kukamata wala kufanya upelelezi wa makosa ya jinai, wao wakiona shwala linahatarisha usalama wa nchi na wakawa na uhakika juu ya ishu hiyo hupeleka kwenye chombo husika ambao ni polisi kwa ajili ya kufanya upelelezi na kupeleka shauri kwa DPP au mahakamani, huyo atakuwa chini ya TISS na ndio maana usikute polisi hawana taarifa yoyote na ukamataji wake umekuwa kama wa kutekwa maana wao hawana mamlaka ya kumkamata mtu na kumuweka kizuizini
Nimemsikiliza vizuri Makonda ........ amesema kuwa "Majibu sahihi ni kuwa Mo amepatikana na wahalifu wametiwa mikononi mwa vyombo vyetu vya dola...."UPDATE 4: 1100HRS
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amekanusha taarifa za kupatikana kwa mfanyabishara Mohammed Dewji, na kwamba taarifa zilizosambaa kuwa amepatikana sio sahihi.
Mkuu niliona umesema kapatikana ?? Vipi imekuaje tena?Kumbe hajapatikana bado.
hahaa mambo sasa anatafuta watekaji kumbe ..mmoja wapo umejificha huku ...Mo kakufanya nini mkuu au kakuchukulia mkeo ?Kabisaa
Itakuwa ni bashite tu anataka kuwakamua hela ndugu za Mo na kumlazimisha Mo ahamishe fedha kwenda akaunti za bashite za offshore.
Ushauri mzuri Hapo kwenye INTERPOL/FBI ili apatikane haraka akiwa hajadhurika.. Ajabu watakataa kuonyesha wanaweza hata wakishindwa.Pamoja na polisi wetu kuonyesha udhaifu mkubwa kwa namna wanavyshughulikia uhalifu kwa mifano (Matukio yaliyovuma sana ya watu kutekwa na kuuwawa, na tukio la kupigwa risasi Mb. Tundu Lissu), kwa hili tuwashauri polisi yakipita masaa 24 hajapatikana, basi waombe msaada vyombo vya nje ikiwepo interpol/FBI watusaidie kuwasaka hawa watekaji. Kwa tukio hili nchi inaweza kupata hasara kubwa sana, ukizingatia huyu Mo anatambulika kimataifa na network yake inalipa taiafa hadhi kubwa kuliko sisi maskini ambao hata tukipotea mia moja serikali inaweza kufumba macho na maisha yakaendelea kama hakuna kilichotokea.
Zakaria aliusoma mchezo wote akachukua hatua. Ndugu yetu Mo Dewji yeye hakujua alishtukia tu hawa.Dawa yao ni kuwapiga au kuwapiga Risasi kama yule Zakaria wa huko Tarime.
serikali inayo ongozwa na kichaa unadhani unaweza kuliona hilo kama ambavyo wewe umeliona "...? Mbona mnalazimisha chizi aweze kuwa na Akili timamu ""?Hamna kitu km iko,,serikali imteke MO wakati ndio wakuza uchumi wetu,,hii coment yako mkuu itakuletea matatizo
Nimeandika humu, do not trust Mambosasa. mara nyingi kauli zipo zipo tu, uwa anaongea kujifurahisha[emoji23] [emoji122]