Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Kuna Makosa kadhaa Vyombo vyetu vya Ulinzi huwa wanafanya wanapo report Matukio

Kutaja udhaifu wa ushahidi uliokusanya ni kosa kubwa Sana Kwa wenye ujuzi kiasi wa Masuala hayo


Kutangaza Kuwa CCTV Camera hazioneshi Vizuri sura Za Watuhumiwa
Hazioneshi Mlango walioingilia n.k maana yake unawafanya wahalifu watuambie udhaifu uliopo kwny collected evidence Na hivyo kujipanga kutokea hapo Na Pia Hata suspect utakaowakamata kuanzia Leo watajua Kwa kiasi gani kuna udhaifu kwny ushahidi mlionao!

Kwa Mfano Kama wahalifu Ni waarabu/ Wahindi Au wachina lakin nyie mme tangaza Kuwa Ni Wazungu maana yake tayari washajua mpo off point hivyo wanaweza kuchomoka kirahisi

Tusiwape Fursa Wanasiasa Kuwa wasemaji wa Masuala haya Kwa Kuwa kuna taarifa zingine Ni muhimu Kwa wakati Fulani but sio for public consumption Kwa wakati huo

Kwenye Shambulio la 7th August, 1998 pallet Ubalozi wa America Ally Hassan Mwinyi Road walipata evidence nyingi Sana Za awali lakin hawaku expose chochote bali tulikuja kujua Baada ya Khalifa Mohamed kukamatwa Bungoni Ilala Na kupelekwa America Na kuja kugundulika Mengi wakati kesi inaendelea


Kuanza kufafanua features Za collected evidence Ni kosa kubwa Sana tunafanya Kwa Kujua Au kutojua

Unapotaja mbinu walizotumia wahalifu hadharan maana yake unatoa Semina Elekezi Kwa wahalifu wengine waige bila ya kutambua
unafikiri wao hawajui technicalities hizo? waa diverge maskudi tu kwa malengo maalumu
 
Ujanielewa kabisa namanisha saa zingine polisi wanafanyaga makusudi kutoa misleading information ili anayetafutwa ajue polisi wamepotea muulekeo kumbe ni mtego.
Wanapotoa misleading info maana yake hawahitaji msaada wa jamii, maana yake watekaji kwa sasa wamepewa mwamvuli wa kutotambulika na wasamalia wema ambao siku zote ndiyo wamekua chanzo cha mafanikio ya shughuli za kiuchunguzi hapa nchini
 
Uzi unaanza kuchoka,no more updates. Najiuliza kwa nini ilikuwa kosa kumwombea Lissu alivyoshambuliwa,lakini kwa Mo jana zilipigwa dua bila tatizo mbele ya makamera
 
umekula bangi ya wapi wewe kunijumuisha kwenye kundi ka wauwaji? fuatilia post zangu zote ili angalau ujue nipo upande upi.
Jambazi sugu wewe nakuja wewe na Ile tshet yako nyeupe Chunga




Swissme
 
Sijaelewa mkuu
Anachomaanisha ni kwamba, huo umuhimu unaouona wewe wa Mo kwa serikali; serikali hiyo hiyo ilishindwa kuuona kwa Yusuf Manj mfanyabiashara mkubwa aliyekuwa ananunua mbaazi!

Ni serikali hiyo hiyo unayodhani najali, ndiyo hiyo hiyo ilifanya mambo ya kumkomoa Manji kwa kumbambikia kesi za kijinga kabisa hadi wakamwandoa kwenye reli! Watu wanaamini kushuka vibaya kwa bei ya mbaazi kulichangiwa sana na Manji kuwekwa ndani kwa sababu ni kampuni yake ndiyo wanunuzi wakuu wa mbaazi!
 
Back
Top Bottom