Quinine Mwitu
JF-Expert Member
- Oct 19, 2014
- 5,529
- 6,095
Na CCTV camera zimeshuhudia,lakini hazina kipaumbele tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyu ni boss wa viwanda,labda watamfikiria...Mengi ni Boss wa Timu gani?
Ni blackmail za Bashite na kikundi chake kwa nia ya kuwabambikia kesi wahindi ili wawachukulie Pesa tambua kuwa mpaka kufika jumatatu idadi ya waliobambikiwa kesi utakuwa kubwa sanaUwezekano mkubwa haya ni maigizo tu kwa nia ya kujipatia kiki.
Kumbe wanajua kafichwa mahali!!!!!Hawa watu hawa ! labda wakimbie aiseeee !!
Nimeshangaa sana hiyo kauli kuwa anajua kafichwa mahali!!Watu walikuwa wanasema kuna utekaji wa wananchi wanapuuzwa sasa nadhani wataelewa
Na huo ndo ukweli.Ila kwa story za vijiweni,watu wengi inaonekana wanaamini serikali ina mkono katika tukio la Mo
unafikiri wao hawajui technicalities hizo? waa diverge maskudi tu kwa malengo maalumuKuna Makosa kadhaa Vyombo vyetu vya Ulinzi huwa wanafanya wanapo report Matukio
Kutaja udhaifu wa ushahidi uliokusanya ni kosa kubwa Sana Kwa wenye ujuzi kiasi wa Masuala hayo
Kutangaza Kuwa CCTV Camera hazioneshi Vizuri sura Za Watuhumiwa
Hazioneshi Mlango walioingilia n.k maana yake unawafanya wahalifu watuambie udhaifu uliopo kwny collected evidence Na hivyo kujipanga kutokea hapo Na Pia Hata suspect utakaowakamata kuanzia Leo watajua Kwa kiasi gani kuna udhaifu kwny ushahidi mlionao!
Kwa Mfano Kama wahalifu Ni waarabu/ Wahindi Au wachina lakin nyie mme tangaza Kuwa Ni Wazungu maana yake tayari washajua mpo off point hivyo wanaweza kuchomoka kirahisi
Tusiwape Fursa Wanasiasa Kuwa wasemaji wa Masuala haya Kwa Kuwa kuna taarifa zingine Ni muhimu Kwa wakati Fulani but sio for public consumption Kwa wakati huo
Kwenye Shambulio la 7th August, 1998 pallet Ubalozi wa America Ally Hassan Mwinyi Road walipata evidence nyingi Sana Za awali lakin hawaku expose chochote bali tulikuja kujua Baada ya Khalifa Mohamed kukamatwa Bungoni Ilala Na kupelekwa America Na kuja kugundulika Mengi wakati kesi inaendelea
Kuanza kufafanua features Za collected evidence Ni kosa kubwa Sana tunafanya Kwa Kujua Au kutojua
Unapotaja mbinu walizotumia wahalifu hadharan maana yake unatoa Semina Elekezi Kwa wahalifu wengine waige bila ya kutambua
Kumbe wanajua kafichwa mahali!!!!!
Wanapotoa misleading info maana yake hawahitaji msaada wa jamii, maana yake watekaji kwa sasa wamepewa mwamvuli wa kutotambulika na wasamalia wema ambao siku zote ndiyo wamekua chanzo cha mafanikio ya shughuli za kiuchunguzi hapa nchiniUjanielewa kabisa namanisha saa zingine polisi wanafanyaga makusudi kutoa misleading information ili anayetafutwa ajue polisi wamepotea muulekeo kumbe ni mtego.
Jambazi sugu wewe nakuja wewe na Ile tshet yako nyeupe Chungaumekula bangi ya wapi wewe kunijumuisha kwenye kundi ka wauwaji? fuatilia post zangu zote ili angalau ujue nipo upande upi.
Anachomaanisha ni kwamba, huo umuhimu unaouona wewe wa Mo kwa serikali; serikali hiyo hiyo ilishindwa kuuona kwa Yusuf Manj mfanyabiashara mkubwa aliyekuwa ananunua mbaazi!Sijaelewa mkuu
sasa ndio umefanya nini hapa????unafikiri wao hawajui technicalities hizo? waa diverge maskudi tu kwa malengo maalumu
Uwezekano mkubwa haya ni maigizo tu kwa nia ya kujipatia kiki.
Alivyopotea ROMA Mkatoliki, DAB alituhakikishia kua angepatikana mpaka Jumapili. Sasa ajitokeze na atuhakikishie na hili pia kuhusu MO.Hawa watu hawa ! labda wakimbie aiseeee !!