Dar: Mtangazaji wa ITV, Blandina Sembu atupwa barabarani kituo cha Mwenge ITV akiwa ameuawa

Unayajua maeneo hayo vizuri?
Kina Mabumo walikuwa Maryland wanakunywa, kuna mtu akaja anapiga kelele kuwa kaona maiti, ila anadhani marehemu ni mfanyakazi wa ITV.
Ndipo Mabumo na watu wengine pale bar wakainuka na wakaenda kumtambua
Bujibuji...ulikuwepo nini au nilikufananisha ?
 
Unayajua maeneo hayo vizuri?
Kina Mabumo walikuwa Maryland wanakunywa, kuna mtu akaja anapiga kelele kuwa kaona maiti, ila anadhani marehemu ni mfanyakazi wa ITV.
Ndipo Mabumo na watu wengine pale bar wakainuka na wakaenda kumtambua
...Na Pengine Uchunguzi uanzie hapo hapo.
Kwa mini atupwe Bar ya Maryland na sio mahali pengine popote?

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Kila tukio linalotokea duniani lazima Mungu awe amependa.
Umesahau kwenye misiba watu husema: " Tulimpenda, Mungu kampenda zaidi" !!
 
. ..Mbona kama tayari Walinzi wetu wa Usalama wameishaanza kujichanganya?

Ripoti moja inasema Mwili umetupwa njiapanda ya ITV, na nyingine inasema mbele ya Bar ya HappyLand?? Vipi ni Lipi, haya ni maeneo mawili tofauri hapo hapo karibu karibu na yanaangaliana???

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Ila sura ya Dada blandina mmmmmmh!!..
Hakua afisa kipenyo kweli..
Tuanzieni hapo..
 
kama angejuwepo leo kuna watu wangesema yeye ndio amepanga.

now yeye hayupo sijui watamlaumu nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…