nyampanaga
JF-Expert Member
- Nov 16, 2012
- 1,104
- 559
Hatari Sana..R.I.P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuwa anavuta sigara?Watu wa gambe na sigara wa tegeta tutakumbuka sana ulikuwa mdau mkubwa wa PK pub.
Bujibuji...ulikuwepo nini au nilikufananisha ?Unayajua maeneo hayo vizuri?
Kina Mabumo walikuwa Maryland wanakunywa, kuna mtu akaja anapiga kelele kuwa kaona maiti, ila anadhani marehemu ni mfanyakazi wa ITV.
Ndipo Mabumo na watu wengine pale bar wakainuka na wakaenda kumtambua
...Na Pengine Uchunguzi uanzie hapo hapo.Unayajua maeneo hayo vizuri?
Kina Mabumo walikuwa Maryland wanakunywa, kuna mtu akaja anapiga kelele kuwa kaona maiti, ila anadhani marehemu ni mfanyakazi wa ITV.
Ndipo Mabumo na watu wengine pale bar wakainuka na wakaenda kumtambua
Kila tukio linalotokea duniani lazima Mungu awe amependa.Katika kazi sizipendi naziogopa zenye hatari ya kupoteza maisha bila Mungu kupenda ni
1.Usalama (polisi na wanajeshi)
2.Uandishi wa Habari
3.Udereva (wa aina yeyote ile iwe ndege/meli/rocket,nk)
Hizi sekta 3 hizi Mungu apende asipende wanadamu wanaweza amua yao wakafanya kweli.
. ..Mbona kama tayari Walinzi wetu wa Usalama wameishaanza kujichanganya?View attachment 1736697
Jeshi la Polisi mkoa wa Kipolisi Kinondoni limethibitisha kutupwa kwa mwili wa aliyekuwa mwandishi wa habari ITV/Radio one Blandina Sembu katika eneo la njia panda ya ITV na watu wasiojulikana waliokuwa wakitumia gari aina ya Noah.
Ahsante mzee wa Kindi
Ufuo salo kaandika hivyo katoka Tarime Kiswahili bado sana
Hahahaha " fat gift"! Au sijui zawadi Nene? Huenda ni zawadi y mfugo hii.
Nipo mkubwa
Mno[emoji24][emoji24][emoji24] inauma sana
Umebadili id...lol..naisahau ila ntaikumbukaOkay
Ila sura ya Dada blandina mmmmmmh!!..View attachment 1736697
Jeshi la Polisi mkoa wa Kipolisi Kinondoni limethibitisha kutupwa kwa mwili wa aliyekuwa mwandishi wa habari ITV/Radio one Blandina Sembu katika eneo la njia panda ya ITV na watu wasiojulikana waliokuwa wakitumia gari aina ya Noah.
Labda ndiyo aliyemua. Polisi waanze na yeye. Kweli amejuaje kama ameuwawa?Mleta uzi umejuaje kama ameuwawa?na sio kifo cha aina nyingine.
Kwa hiyo JPM kaondoka na peace yakeKati ya mambo ambayo ninayahofia baada ya kifo Cha JPM Ni hili la wimi la ujambazi.... Tulikuwa peace hatari
Bado yapo mkuu Mungu atunusuru na wajaHaya mambo bado yanaendelea tu mungu tusaidie