Dar: Mtangazaji wa ITV, Blandina Sembu atupwa barabarani kituo cha Mwenge ITV akiwa ameuawa

Dar: Mtangazaji wa ITV, Blandina Sembu atupwa barabarani kituo cha Mwenge ITV akiwa ameuawa

Ingekuwa umri fulani tungezani labda kachukua mume wa mtu lakini kwa umri huo sizani.
 
Kawakosea nini wakubwa
Kwa kutazama tukio tu, kauwawa kwingine na katupwa karibu na kazini kwake, Maryland bar , bar inayotumiwa na waandishi wa habari.
Aliemuua binti alitaka mwili uonekane kirahisi.
Vile vile mwuaji ana ujasiri alijua anafanya nini.

Kwa hiyo, aidha muuaji alipewa tenda ya kuua( ni proffessional) au kuna kitu bibie alikuwa anafahamu na kaondolewa uhai ili iwe onyo,
Au, bibie kuna watu amewazika katika dili.

Polisi huwa ni makini lazima hili wata liburumbua.
 
Back
Top Bottom