Dar: Mvua kubwa sana imenyesha usiku wa kuamkia leo 21/01/2024

Mvua imeanza kunyesha tangu usiku wa manane wa jumamosi hadi alfajili ya jumapili. Acha ubishi bi mkubwa. Mvua imeharubu madaraja na mkazi ya raia na imeua raia.
Nimekwambia kafanye editing post namba moja, unanambia ubishi, sasa mbishi mimi au wewe?

Umk89na ulichokiandikqmpost ya kwanza? Nenda kajisome.

Punguani wahed.
 
Kwanini hujawasemea mamlaka ya hali ya hewa waliotoa utabiri huo?

Kusudi la Mungu huyo ni nini haswa?
 
Sio hapa Morogoro kweli? Niko Moro hapafai kabisa Ndugu yangu. Duh
 
Nimekwambia kafanye editing post namba moja, unanambia ubishi, sasa mbishi mimi au wewe?

Umk89na ulichokiandikqmpost ya kwanza? Nenda kajisome.

Punguani wahed.
Uliniambia niangalie saa wewe unajua mvua imeanza saa ngapi? Huko shule ulienda kusoma ujinga? Elimu ya zamani ilikuwa nzuri lakini wewe ilikupita. Uliishia tu kusoma korani ukaacha elimu dunia
 
Mvua huku Dar imesababisha maafa. Imesomba magari, nyumba na mali za raia na kubomoa madaraja. Serikali iingilie kati kurejesha mawasiliano ya barabara kwa kujenga madaraja ya muda.
 
Uliniambia niangalie saa wewe unajua mvua imeanza saa ngapi? Huko shule ulienda kusoma ujinga? Elimu ya zamani ilikuwa nzuri lakini wewe ilikupita. Uliishia tu kusoma koranj ukaacha elimu dunia


Kapten, unajua heading ya Uzi unasema "mvua kubwa sana inanyesha usiku huu" lakini umepost saa 12 alfajiri ambayo sio usiku.

Mvua kuanza kuonyesha usiku na wewe kupost saa 12 asubuhi sio shida. Tatizo linaanza hapo kuchukulia saa 12 kama usiku na awali haukutoa taarifa za mahali ulipo.

Ndio maana FaizaFoxy akashayri urekebishe post ya kwanza.

Shukran
 
Mvua huku Dar imesababisha maafa. Imesomba magari, nyumba na mali za raia na kubomoa madaraja. Serikali iingilie kati kurejesha mawasiliano ya barabara kwa kujenga madaraja ya muda.
Serikali ipi unayoisema ? Mimi nakwambia kifungu Cha maafa na dharula Huwa katika level ya kitaifa not kikata,wilaya au mtaa.

1. Madhara ya mvua Huwa yanachukuliwa kisiasa tu
2.
 
Sawa mkuu. Siwezi kubadilisha tittle ya uzi. Nasubiri mods wakiamka waje kubadilisha. Asante kwa kunikumbusha mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…