Dar: Mwandishi Bollen Ngetti adaiwa kutekwa tena na watu wasiojulikana; apatikana

Ccm mimi sio mwandishi ila naomba mnisamehe popote pale ambapo nimewakosea
 
Inatakiwa ile Sera ya jino kwa jino ndio inafaa akitekwa mtu Leo jioni atekwe mtoto wa waziri au DC au afisa mtendaji halafu anawekwa ransom kwamba hatoki mtu mpaka aliyetekwa atolewe hapa ndio tutaheshimiana vinginevyo mnatwanga maji kwenye kinu
 
Sisi wengine ni wakulima tunapambana na jua pamoja na wadudu. Ninyi pambaneni na wanasiasa wenzenu. Kila mmoja apambane na yake [emoji119] [emoji119] [emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TUNAPASWA KUFANYA JAMBO 'kelele nyingi nyuma ya keyboad hazisaidii' wanatuona malofa sana
Kweli malofa kama unadanganywa kirahisi hivyo bila kufanya verification what do you expect?
 
 
Huu utawala wa JPM tutaona mengi, wasiojulikana hawaishi tu!? Bora amalize urais aisee akipewa miaka 5 tena si ndio wasiojulikana watafanya sherehe kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…