Dar: Ofisi za MangeKimambi App zavamiwa, wafanyakazi wake wakamatwa

kama ni umbea ameanza siku nyingi, mbona hajasakamwa? mifaano yote umetoa bado hujagusia hili lililosababisha hata mambo yafike kwa pilato.
 
Wenye Ubongo mzuri tunakuelewa sana Mkuu na tunazielewa mno Hoja zako tofauti na Fools wengi Wasiokuelewa na Wanaokushambulia.
 
Swali langu ni kwamba IT wetu, TCRA kampuni nzima hawawezi pata details za video? Basi tuko nyuma sana.

Kwa akili yangu ndogo ninavyowaza video inaweza kukupatia taarifa zifuatazo

1. Sehemu ilipochukuliwa nyuzi za latitude na longitudes

2. Aina ya simu/camera iliyotumika

3. Muda iliyochukuliwa

4. Ikishatumwa au kuwa shared itaonesha aina ya line (network) na namba iliyotumika (Source)
 
🚮🚮
 
Hivi unajua nini maana ya "haki ya faragha "? Msipende kuchukulia vitu poa, ujinga huo angeufanya huko US lazima angesimama kwa Pilato.
 
Hivi kuna wanaume kabisa wana app ya Mange kwenye simu?
 
Hivi mfano... mfano tu ni ndugu wa prof ndo kamtumia ile video, hatua gani zitachukuliwa??
Je familia ndo itadeal nae au hata serikali?
 
Ofisi za Mange zilizopo Kinondoni jijini Dar zimevamiwa na wafanyakazi wake kukamatwa.

Kweli kujipendekeza hakulipi.
Anasema hamjui, halafu anasema anajua si doctor, si nesi na si mfanyakazi, then kumbe anamjua basi..., hao wafanyakazi walifahamu kabisa wanafanya kazi chini ya mhalifu, ila bado wakaendelea.., sasa iwe fundisho..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…