Dar: Ofisi za MangeKimambi App zavamiwa, wafanyakazi wake wakamatwa

Acheni ujinga kujidai malaika, huyo Mange anahabarisha tu, kama habari ni mbaya isisemwe? huyo mange ni mbea lazima atoe habari za kimbea, na zote ni habari, unataka maadili gani kwenye umbea? kama umefumaniwa itaandikwa CHANCE NDOTO afumaniwa, aogipe kutoa habari kisa maadili mbona mnavofanya ujinga hamkumbuki kua ni maadili? ukiangalia hapa wengi wanaopondea ile App ni wale wanaojua wana makandokando yao huko wanajua ipo siku watafikiwa, hivo wana shout hapa iki ifungiwe wawe safe. Nasemaje App iendelee hadi wajinga wote wanyooke, wana cheat ovyo, wanaotoka.nnje ya ndoa, wanaojjidhalilisha yani wote acha waandikwe.

Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
kama ni umbea ameanza siku nyingi, mbona hajasakamwa? mifaano yote umetoa bado hujagusia hili lililosababisha hata mambo yafike kwa pilato.
 
Watu waongelee hilo sasa, pia kwa example ya lemutuz, kumbuka walikua na ugomvi and you canmot choose silaha soft ya kumpigia adui, you take the one which hurts the most. Hata hiyo ya prof J, still haikua iwe big deal like how you guys preaching here. Picha za watu kulazwa ICU mbona ziko nyingi hata watu hupost za ndugu zao ili watu wamuombee mgonjwa, how comes iwe big deal? angekua amepost video ya mgonjwa hajavaa nguo ingemake sense, ama angeandika madharau kwa mgonjwa hapo sawa, ila video tu watu.mnang'aka kama ameua, mnazidiwa bwana sio kweli.

Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
Wenye Ubongo mzuri tunakuelewa sana Mkuu na tunazielewa mno Hoja zako tofauti na Fools wengi Wasiokuelewa na Wanaokushambulia.
 
Swali langu ni kwamba IT wetu, TCRA kampuni nzima hawawezi pata details za video? Basi tuko nyuma sana.

Kwa akili yangu ndogo ninavyowaza video inaweza kukupatia taarifa zifuatazo

1. Sehemu ilipochukuliwa nyuzi za latitude na longitudes

2. Aina ya simu/camera iliyotumika

3. Muda iliyochukuliwa

4. Ikishatumwa au kuwa shared itaonesha aina ya line (network) na namba iliyotumika (Source)
 
Acheni ujinga kujidai malaika, huyo Mange anahabarisha tu, kama habari ni mbaya isisemwe? huyo mange ni mbea lazima atoe habari za kimbea, na zote ni habari, unataka maadili gani kwenye umbea? kama umefumaniwa itaandikwa CHANCE NDOTO afumaniwa, aogipe kutoa habari kisa maadili mbona mnavofanya ujinga hamkumbuki kua ni maadili? ukiangalia hapa wengi wanaopondea ile App ni wale wanaojua wana makandokando yao huko wanajua ipo siku watafikiwa, hivo wana shout hapa iki ifungiwe wawe safe. Nasemaje App iendelee hadi wajinga wote wanyooke, wana cheat ovyo, wanaotoka.nnje ya ndoa, wanaojjidhalilisha yani wote acha waandikwe.

Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
🚮🚮
 
Watu waongelee hilo sasa, pia kwa example ya lemutuz, kumbuka walikua na ugomvi and you canmot choose silaha soft ya kumpigia adui, you take the one which hurts the most. Hata hiyo ya prof J, still haikua iwe big deal like how you guys preaching here. Picha za watu kulazwa ICU mbona ziko nyingi hata watu hupost za ndugu zao ili watu wamuombee mgonjwa, how comes iwe big deal? angekua amepost video ya mgonjwa hajavaa nguo ingemake sense, ama angeandika madharau kwa mgonjwa hapo sawa, ila video tu watu.mnang'aka kama ameua, mnazidiwa bwana sio kweli.

Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
Hivi unajua nini maana ya "haki ya faragha "? Msipende kuchukulia vitu poa, ujinga huo angeufanya huko US lazima angesimama kwa Pilato.
 
Hivi kuna wanaume kabisa wana app ya Mange kwenye simu?
 
Hivi mfano... mfano tu ni ndugu wa prof ndo kamtumia ile video, hatua gani zitachukuliwa??
Je familia ndo itadeal nae au hata serikali?
 
Ofisi za Mange zilizopo Kinondoni jijini Dar zimevamiwa na wafanyakazi wake kukamatwa.

Kweli kujipendekeza hakulipi.
Anasema hamjui, halafu anasema anajua si doctor, si nesi na si mfanyakazi, then kumbe anamjua basi..., hao wafanyakazi walifahamu kabisa wanafanya kazi chini ya mhalifu, ila bado wakaendelea.., sasa iwe fundisho..
 
Back
Top Bottom