Dar: Ofisi za MangeKimambi App zavamiwa, wafanyakazi wake wakamatwa

Dar: Ofisi za MangeKimambi App zavamiwa, wafanyakazi wake wakamatwa

Vyombo vya ulinzi na usalama vimevamia ofisi za mange KIMAMBI app eneo la kinondoni ikiwa ni pamoja na kuondoka na vifaa vyote vya ofisi pamoja na kukamata wafanyakazi wote

My take- huyu CHUCHUNGE alikuwa kazidi unoko Sana..
Kwani unaamini huo ndiyo mwisho wa shughuli za Mange
 
Ofisi za Mange zilizopo kinondoni zimevamiwa na wafanyakazi wake kukamatwa.

Kweli kujipendekeza hakulipi.

Niliumia sana kuona anamdhalilisha prof J. Hivyo hii ni furaha kwangu.

Prof Jay Mungu aendelee kukupigania
Kuvamia?
 
Wanazidi kumpa umaarufu, kwenye hiyo app kuna nini!!??
 
Ofisi za Mange zilizopo Kinondoni jijini Dar zimevamiwa na wafanyakazi wake kukamatwa.

Kweli kujipendekeza hakulipi.

Niliumia sana kuona anamdhalilisha prof J. Hivyo hii ni furaha kwangu.

Prof Jay Mungu aendelee kukupigania.

========
Mange kaandika:

Yes, mlichosikia ni kweli kabisa.
ofisi nzima watu zaidi ya 10 wako central toka jana asubuhi.

Nna mengi ya kusema, yani nataka kuharisha haswa ila sasa inabidi nitumie akili.

Wamefunguliwa kesi ya matumizi mabaya ya mitandao kutokana na ile clip ya Professor Jay. Wanataka kujua nani alienipa ile clip. Tatizo ni kwamba hao wafanyakazi hata wawachape viboko hakuna hata mmoja wao ataewapa jibu. Hata wawaeke ndani mwaka hakuna wa kuwapa jibu maana hawajuiiii. Mimi peke yangu ndo nina uwezo wa kuwaambia clip imetokea wapi ila mimi huwa nafuta chats zangu soon as nikifanyia kazi kuepusha sources zangu kujulikana iwapo ntapoteza simu

It’s seems wanawashikilia wafanyakazi wangu kama kunikomesha mimi, ila tatizo ni kwamba mimi niko marekani nimeweka nne wanaokoma ni watoto wadogo, watoto ambao hawana hata impact yoyote na app, hao watoto wako ndani toka jana asubuhi na Mange Kimambi App onaendelea kama kawaida kilichokuwa affected kwenye App ni hard news na sports. Mpaka hapo ilibidi wajue wamewashikilia innocent people.

So it seems wanataka mimi niwaambie nani kanitumia ile clip ndo hii kesi iishe ili waweze kudili na huyo mtu. Tatizo ni moja.

1. Siwezi kumjua huyo mtu maana nilishadelete chats zetu.

2. Hata ningekuwa sijadelete chat bado nisingetaja nani kaniambia. Yani hata waifunge App , siwezi kusema sources zangu, nini kuwakamata wafanyakazi, hata nifanywe nini nisingemtaja aliesema. Bora nife kuliko kusema nani ndo aliniambia nini. Yani niko tayari app ifungwe nirudi kuwa jobless ila siwezi kumwaribia mtu mwingine maisha yake kwa kumtaja ili nijiokoea mimi. I ain’t no snitch!!

3. Na hao Muhimbili wanajipa headache bure wafanyakazi wao wamuhimbili wako innocent. Sikutumiwa ile clip na nurse, wala doctor wala mfanyakazi.

Polisi Kesi ya vijana wangu ina dhamana ila toka jana mnawanyima dhamana why??? Dhamana ni haki yao. Tanzania tulishapita hiyo stage ya kufanyia ubabe na kwenda kinyume na sheria. Wapeni vijana haki yao ya dhamana.Yani ni hivi hao vijana wangu hata muwabane pumbu na spana hakuna atakaewaambia chochote, coz HAWAJUIIII!!
Ingekuwa kipindi kile mngesema fulani dictetor haya sasa.
 
Back
Top Bottom