Dar: Ofisi za MangeKimambi App zavamiwa, wafanyakazi wake wakamatwa

Dar: Ofisi za MangeKimambi App zavamiwa, wafanyakazi wake wakamatwa

Huyo binti hana staha kabisa angekuwa ni ndugu yake angekubali picha yake irushwe mtandaoni au Kama watu wanavyosema Bana yake aliliwa ndogo je wangempa hizo picha angerusha.kwenye uandishi kuna miiko ya kutoa picha public.
Swali fikirishi sana.....

Ila vijana wanaoumia sasa ni kama hawana hatia.
 
Si alisema app haiwezi kua blocked?

Vipi hiyo kauli bora ifungwe?

Plus. Mimi nadhani vitu vidogo kama hivi ndio vyakushughulikia. Hizi media huwa zinapindua nchi hizi.

Hawa madogo design wafungwe hata miaka 15 ili iwe fundisho la nidhamu kwa taifa lao.

Ina maana wanafanya kazi bila kuheshimu utu.

Kutoshiriki sio swala. Unafanyiaje kazi kampuni ambayo inaumiza damu yako?

Funga hao watoto.

Fungaaaaaa!
 
Back
Top Bottom