Bado anaongea kwa jeuri kubwa. Hadi sasa hajaona kama ni kosa kumdhalilisha Profesa Jay kupitia ofisi yake iliyopo Kinondoni. Anawaambia polisi hangaikeni na hao wafanyakazi wake makapukuni waliopo Tanzania lakini yeye amekunja 4 huko US ambapo hawatakaa wamfikie.
Huyu anatakiwa ifanyike utaratibu wa repatriation kurudisdhwa Tanzania ambapo kampuni yake imetenda uhalifu ili aje ajibu mashitaka, haiwezekani unaishi US, huenda ni raia wa US lakini unaendesha biashara ya kihalifu nchi nyingine.
Tena anatamba ati hawezi kudisclose source yake simply because huwa anadelete conversations? Real? No. Not at all. Nchi haiwezi kwenda namna hii