Dar: Ofisi za MangeKimambi App zavamiwa, wafanyakazi wake wakamatwa

Vyombo vya ulinzi na usalama vimevamia ofisi za mange KIMAMBI app eneo la kinondoni ikiwa ni pamoja na kuondoka na vifaa vyote vya ofisi pamoja na kukamata wafanyakazi wote

My take- huyu CHUCHUNGE alikuwa kazidi unoko Sana..
Kwani unaamini huo ndiyo mwisho wa shughuli za Mange
 
Ofisi za Mange zilizopo kinondoni zimevamiwa na wafanyakazi wake kukamatwa.

Kweli kujipendekeza hakulipi.

Niliumia sana kuona anamdhalilisha prof J. Hivyo hii ni furaha kwangu.

Prof Jay Mungu aendelee kukupigania
Kuvamia?
 
Wanazidi kumpa umaarufu, kwenye hiyo app kuna nini!!??
 
Ingekuwa kipindi kile mngesema fulani dictetor haya sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…