Dar: Ofisi za MangeKimambi App zavamiwa, wafanyakazi wake wakamatwa

Dar: Ofisi za MangeKimambi App zavamiwa, wafanyakazi wake wakamatwa

Shida anaona wajinga tz ni wengi watamuingizia hela chap,nchi hii vijana wemekua watu wa hovyo yuko radhi asile ila bundle anunue
Nchi hii wapumbavu hawajaanza alipomdhalilisha J tu!

Wapumabvu walianza pale walipokuwa wanamshangilia akitukana viongozi.

Ni jini hilo walililea, ngoja liwanyonye damu

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Bado anaongea kwa jeuri kubwa. Hadi sasa hajaona kama ni kosa kumdhalilisha Profesa Jay kupitia ofisi yake iliyopo Kinondoni.

Anawaambia polisi hangaikeni na hao wafanyakazi wake makapukuni waliopo Tanzania lakini yeye amekunja 4 huko US ambapo hawatakaa wamfikie.

Huyu anatakiwa ifanyike utaratibu wa repatriation kurudisdhwa Tanzania ambapo kampuni yake imetenda uhalifu ili aje ajibu mashitaka, haiwezekani unaishi US, huenda ni raia wa US lakini unaendesha biashara ya kihalifu nchi nyingine.

Tena anatamba ati hawezi kudisclose source yake simply because huwa anadelete conversations?

Real? No. Not at all. Nchi haiwezi kwenda namna hii
Marekani hawawezi kuruhusu huo upuuzi unao usuggest hpa
 
Yani niko tayari app ifungwe nirudi kuwa jobless
Kumbe udomo domo wote ule Huyu bi shost ni Jobless

App kaifungua mwaka gani wapendwa? sema kina mama

type ya mange,sishangai akiwa mdangaji, Sasa Dada Mange

hebu tuambie before kufungua App ulikua ukifanya kazi gani?

Au ndio tyar jibu ni hilo ulikua "Jobless" sema kuzaliwa mwanamke ni kazi PIA...
 
Kwani mange anasemaje!

Wabongo bwana mange kasema mange kasema

Ova
 
Nchi hii wapumbavu hawajaanza alipomdhalilisha J tu!

Wapumabvu walianza pale walipokuwa wanamshangilia akitukana viongozi.

Ni jini hilo walililea, ngoja liwanyonye damu

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Vipi, unasemaje na mama ALIPOPIGA naye picha huyo Mdada walipokutana kule USA? Vipi hakupata passport wakati wa JPM kaja kuipata kirahisi awamu hii? Si kuwa hata MAMA inawezekana alikuwa ni SHABIKI wake, sawasawa na wale waliokuwa wakimuita DADA MANGE?
 
Jibu unalo mwenyewe

Mama Samiah ikibainika anamsupport huyu mtukanaji itakuwa ni fedhaha kwa taifa letu, ajiweke nae mbali kabisa
 
Waungwana Salam kwanza!

Niende Moja Kwa Moja kwenye hoja, hivi Mange Kimambi app ni kitu gani? Je ni chombo Cha habari? Ni kampuni? Imesajiliwa? Ina leseni? Inalipa Kodi? Na masharti ya leseni yanaruhusu anachofanya? Kutukana watu, kupost utupu nk?

Nimeuliza maana naona anachaji pesa, ana ofisi Tanzania, hivyo Kwa mujibu wa sheria Mange Kimambi app inapaswa kulipa Kodi.

Na pia kama imesajiliwa inapaswa izingatie sheria na taratibu za TCRA. Haiwezekani ikawa inatumika kutukana watu na kupost picha za utupu sidhani kama sheria ya vyombo vya habari inaruhusu.

Mamlaka zinazohusika chukueni hatia.
 
Duh! Unawezaje? Habar unapataje sasa?
Habari karibu zote nazipata hapa JF maana ndio mtandao pekee ninaotumia,zingine muhimu napata kwenye radio na Tv basi.

Unahisi kuna habari ninamiss?labda umbea mdogo mdogo sana wa hapa na pale[emoji3]
 
Waungwana Salam kwanza!

Niende Moja Kwa Moja kwenye hoja, hivi Mange Kimambi app ni kitu gani? Je ni chombo Cha habari? Ni kampuni? Imesajiliwa? Ina leseni? Inalipa Kodi? Na masharti ya leseni yanaruhusu anachofanya? Kutukana watu, kupost utupu nk?

Nimeuliza maana naona anachaji pesa, ana ofisi Tanzania, hivyo Kwa mujibu wa sheria Mange Kimambi app inapaswa kulipa Kodi.

Na pia kama imesajiliwa inapaswa izingatie sheria na taratibu za TCRA. Haiwezekani ikawa inatumika kutukana watu na kupost picha za utupu sidhani kama sheria ya vyombo vya habari inaruhusu.

Mamlaka zinazohusika chukueni hatia.
CC: TCRA
 
Ukweli usemwe, 85% ya habari zake ni kweli wala hatungi, hadi siku akiandika habari ambayo unaijua 100% ndio utaamini, it happened, i was once like you nilikua sijawahi kumkubali hata mala moja, ila m alindika something ambacho hadi.lwo huwa najiuliza who told her about that na sijui ila was true 100% japo najua someone withing those few people who knew lazima alisema mahali na huko alikosema wakamfikishia Mange, so she is right mala.nyingi tu, sababu hagungi story.

Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app

Mbona kwa Mengi aliomba msamaha kwa uzushi kuhusu kifo chake? She is not relable source or credible source of information.
 
Back
Top Bottom