tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Hiyo sio ofisi ni fremu ya kubully watu,ukikacheki kenyewe hakana mbele wala nyuma yupoyupo tu huko anauza mbususu kwa vizee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ifike mahali ajue kwamba tumemchoka!!Hiyo sio ofisi ni fremu ya kubully watu,ukikacheki kenyewe hakana mbele wala nyuma yupoyupo tu huko anauza mbususu kwa vizee
Ifike mahali ajue kwamba tumemchoka!!
Nchi hii wapumbavu hawajaanza alipomdhalilisha J tu!Shida anaona wajinga tz ni wengi watamuingizia hela chap,nchi hii vijana wemekua watu wa hovyo yuko radhi asile ila bundle anunue
Alianza na edo mkamsifia,zimwi mlilolifunga wenyeweNchi hii wapumbavu hawajaanza alipomdhalilisha J tu!
Wapumabvu walianza pale walipokuwa wanamshangilia akitukana viongozi.
Ni jini hilo walililea, ngoja liwanyonye damu
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Its never too late to apprehend this hoeNchi hii wapumbavu hawajaanza alipomdhalilisha J tu!
Wapumabvu walianza pale walipokuwa wanamshangilia akitukana viongozi.
Ni jini hilo walililea, ngoja liwanyonye damu
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Marekani hawawezi kuruhusu huo upuuzi unao usuggest hpaBado anaongea kwa jeuri kubwa. Hadi sasa hajaona kama ni kosa kumdhalilisha Profesa Jay kupitia ofisi yake iliyopo Kinondoni.
Anawaambia polisi hangaikeni na hao wafanyakazi wake makapukuni waliopo Tanzania lakini yeye amekunja 4 huko US ambapo hawatakaa wamfikie.
Huyu anatakiwa ifanyike utaratibu wa repatriation kurudisdhwa Tanzania ambapo kampuni yake imetenda uhalifu ili aje ajibu mashitaka, haiwezekani unaishi US, huenda ni raia wa US lakini unaendesha biashara ya kihalifu nchi nyingine.
Tena anatamba ati hawezi kudisclose source yake simply because huwa anadelete conversations?
Real? No. Not at all. Nchi haiwezi kwenda namna hii
Kumbe udomo domo wote ule Huyu bi shost ni JoblessYani niko tayari app ifungwe nirudi kuwa jobless
Vipi, unasemaje na mama ALIPOPIGA naye picha huyo Mdada walipokutana kule USA? Vipi hakupata passport wakati wa JPM kaja kuipata kirahisi awamu hii? Si kuwa hata MAMA inawezekana alikuwa ni SHABIKI wake, sawasawa na wale waliokuwa wakimuita DADA MANGE?Nchi hii wapumbavu hawajaanza alipomdhalilisha J tu!
Wapumabvu walianza pale walipokuwa wanamshangilia akitukana viongozi.
Ni jini hilo walililea, ngoja liwanyonye damu
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Jibu unalo mwenyeweVipi, unasemaje na mama ALIPOPIGA naye picha huyo Mdada walipokutana kule USA? Vipi hakupata passport wakati wa JPM kaja kuipata kirahisi awamu hii? Si kuwa hata MAMA inawezekana alikuwa ni SHABIKI wake, sawasawa na wale waliokuwa wakimuita DADA MANGE?
Mama Samiah ikibainika anamsupport huyu mtukanaji itakuwa ni fedhaha kwa taifa letu, ajiweke nae mbali kabisaVipi, unasemaje na mama ALIPOPIGA naye picha huyo Mdada walipokutana kule USA? Vipi hakupata passport wakati wa JPM kaja kuipata kirahisi awamu hii? Si kuwa hata MAMA inawezekana alikuwa ni SHABIKI wake, sawasawa na wale waliokuwa wakimuita DADA MANGE?
Duh! Unawezaje? Habar unapataje sasa?Bahati mabaya situmii IG,ila inasikitisha sana
Habari karibu zote nazipata hapa JF maana ndio mtandao pekee ninaotumia,zingine muhimu napata kwenye radio na Tv basi.Duh! Unawezaje? Habar unapataje sasa?
CC: TCRAWaungwana Salam kwanza!
Niende Moja Kwa Moja kwenye hoja, hivi Mange Kimambi app ni kitu gani? Je ni chombo Cha habari? Ni kampuni? Imesajiliwa? Ina leseni? Inalipa Kodi? Na masharti ya leseni yanaruhusu anachofanya? Kutukana watu, kupost utupu nk?
Nimeuliza maana naona anachaji pesa, ana ofisi Tanzania, hivyo Kwa mujibu wa sheria Mange Kimambi app inapaswa kulipa Kodi.
Na pia kama imesajiliwa inapaswa izingatie sheria na taratibu za TCRA. Haiwezekani ikawa inatumika kutukana watu na kupost picha za utupu sidhani kama sheria ya vyombo vya habari inaruhusu.
Mamlaka zinazohusika chukueni hatia.
Mabavicha ingekuwa kipindi kile yangesema ni udikteta!
Leo lile jini lao walilolilea limeamua kuwanyonya damu
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Ukweli usemwe, 85% ya habari zake ni kweli wala hatungi, hadi siku akiandika habari ambayo unaijua 100% ndio utaamini, it happened, i was once like you nilikua sijawahi kumkubali hata mala moja, ila m alindika something ambacho hadi.lwo huwa najiuliza who told her about that na sijui ila was true 100% japo najua someone withing those few people who knew lazima alisema mahali na huko alikosema wakamfikishia Mange, so she is right mala.nyingi tu, sababu hagungi story.
Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app