Dar: Polisi wamuua mtuhumiwa wa ujambazi

Dar: Polisi wamuua mtuhumiwa wa ujambazi

TUSIBWETEKE TUZIDI KUTOA TAARIFA KWA JESHI LETU TUKUFU TUYAMALIZE MASHETANI HAYA.
 
Du! Mwananchi hawajakubali kwamba aliyewawa ni Jambazi ndo maana wanasema polisi wanadai ni jambazi.
Mwananchi wametumia kanuni ya uandishi habari kisahihi. Hayo ni madai ya polisi na hakuwa amepelekwa mahakamani. Kuna visa vingi tu walishaua watu na polisi wakadai ni majambazi ila baadae ikajulikana siyo.
 
Enzi za gewe kulikuwa na jambaz alikuwa anasumbua sana alikuwa anafamika
Dar break....jamaa alitisha ila gewe alipokuwa rpc dsm,alideal naye vilivyo
Majambaz wa sahv wako kama wadokozi
Zamani jambaz linatoka tabora huko jitu katili
Roho kwatu

Ova
Mkuu ina maana tabora ndoa kwenye chimbuko la majambazi?
 
Unawaamini polisi wa Tanzania wewe? Kwangu mie Ni majambazi yenye uniform
Kuna polisi wazuri na polisi wabaya
Kuna polisi wao wanawapa info majambazi
Hii kitu iko duniani kote

Ova
 
MAJAMBAZI MENGI HUPENDA KUJIFICHA PEMBENI MWA MIJI,CHANIKA,MBEZI,MKURANGA NA N.K.
Hili ni kweli, nimelisikia mara nying kwamba maskani ya majambazi wengi hukaa kuanzia pugu na kuendelea huko mbele.Wana majumba mazuri sana karibu na misitu huko Kazimzumbwi,fence kubwa.cctv nk
 
Ooooyooooooooo ooooyooooooooo ooooyooooooooo ooooyooooooooo ooooyooooooooo ooooyooooooooo

Safiiiii safiiiii safiiiii safiiiii safiiiii safiiiii safiiiii safiiiii safiiiii safiiiii safiiiii safiiiii safiiiii safiiiii safiiiii safiiiii safiiiii safiiiii
 
Hili ni kina kirefu tudili kwanza na hawa vibaka
Sikupingi kiongozi,tangu ile tani 1,igeuzwe na kuwa gm 500,halafu mpaka ss kimya.ndo Sasa nimeamini watu wa ngada ni kipimo Cha rechter , sio masihara.
 
Back
Top Bottom