King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Wadau ujambazi ndio unamalizwa kwa njia hiyo ,kiukweli ukiachilia ile ya Zombe ya kupora wafanyabiashara baada ya hapo polisi wamekuwa makini sana kuua na kusingizia watu majambazi maana wanajua wakiua mtu ambaye sio jambazi kweli inaweza ikaback fire.
Hivyo hao wanaouliwa sasa 99% wanajihusisha na uhalifu ndio maana hauwezi kuta mtu decent akasingiziwa ujambazi ,ukitumia mbinu ya kuwapeleka mahakamani watu wa namna hiyo hauwezi kutatua tatizo la ujambazi,,,,,Jambazi dawa yake ni kula chuma tu ,wakila vyuma majambazi kadhaa lazima wataachana na hiyo kazi.